Kwenye hii dunia kwa wanawake sijaoana kama Aaliyah aisee!, Huyu mtoto sauti yake kiboko!
Anamfikia Maria carey?
Fundi kama aaliyah tuNimemsikiliza nimetoka na hii moja nimeipenda nikipata muda najua nitatoka na vyuma vyake vingi tu...
View attachment 3339205
Sasa si ndo enzi zangu mtoto wangu😂😂Kumbe nawe mshangazi wangu umo umo...😂😉