Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 11,895
- 36,743
R&B ni soft sana
Hip_hop ndio nazikubali.
R&B ni soft sana
Nlijua unajua code tu kumbe na kwenye ngoma upo😁😁😁View attachment 3339052 giveon stuck on you
😄😄sawa toka huku umepotea njiaR&B ni soft sana
Hip_hop ndio nazikubali.
😂😂😂Huwezi kuandika code ukiwa umejifungia ndani kutwa nzima bila kula hivyo vitu mkuu, kwahiyo niko navyo vya kutosha sana.Nlijua unajua code tu kumbe na kwenye ngoma upo😁😁😁
ok....🚶😄😄sawa toka huku umepotea njia
Byeeok....🚶
see you later 🤒Byee
🙂🚶🏼♀️see you later 🤒
🙂🚶🏼♀️...🚶
Huwa naskiliza wengi wengi ila bado bingwa kabisa wa hizi mambo nitabaki kusimama na Robert Kelly😂😂😂, hata kama hayupo uraiani kutoa ngoma ila huyo jamaa ni jini😂😂😂Who is your best R&B artist..?
Sawa jini mimi napambana na mtoto Aaliyah huyu sitachoka kumsema kwenye R&B, Ni fundi haswa natamani angekuwa hai mpaka leo sijui ingekuwaje!.Huwa naskiliza wengi wengi ila bado bingwa kabisa wa hizi mambo nitabaki kusimama na Robert Kelly😂😂😂, hata kama hayupo uraiani kutoa ngoma ila huyo jamaa ni jini😂😂😂
Unapenda sauti laini wewe😅😅😅... Yuko vizuri kwasababu ukiskiliza ngoma zake ni ngumu kuskip, unaweza kuskiliza ngoma hadi ngoma... Mimi sio mpenzi sana wa pop so Michael si mtu ambae nimewahi kuskiliza sana ngoma zake.Sawa jini mimi napambana na mtoto Aaliyah huyu sitachoka kumsema kwenye R&B, Ni fundi haswa natamani angekuwa hai mpaka leo sijui ingekuwaje!.
Lakini no one kwa wasanii wote ni Michael Jackson!.. Huyu fundi muziki wake nauelewa sana!.
Haha! sasa maisha yawe magumu na nisikilize ngoma ngumu huko ndo kuja kuwa mzimu unaesumbua ukoo...🤣Unapenda sauti laini wewe😅😅😅... Yuko vizuri kwasababu ukiskiliza ngoma zake ni ngumu kuskip, unaweza kuskiliza ngoma hadi ngoma... Mimi sio mpenzi sana wa pop so Michael si mtu ambae nimewahi kuskiliza sana ngoma zake.
Ok nipo tayari lete hiyo kazi 😎😎Sikiliza nitakupa kazi ya kufanya 😄
Kuna ngoma hautakiwi kuskiliza mwenyewe, unatakiwa uwe na mwenzio wa jinsia tofauti mnapokelezana chorus here and there... Ili siku hata mkiachana ukijifungia ndani uskilize hizo ngoma ujinyonge vizuri.😅😅😅Haha! sasa maisha yawe magumu na nisikilize ngoma ngumu huko ndo kuja kuwa mzimu unaesumbua ukoo...🤣
That's kind of dark psychology!, haifanyi kazi kwangu hiyo nishatoka huko kujinyonga mh!.😅Kuna ngoma hautakiwi kuskiliza mwenyewe, unatakiwa uwe na mwenzio wa jinsia tofauti mnapokelezana chorus here and there... Ili siku hata mkiachana ukijifungia ndani uskilize hizo ngoma ujinyonge vizuri.😅😅😅
Tulia utapewa 😎Ok nipo tayari lete hiyo kazi 😎😎