Men of this forum.
Ulimwengu huu unakuwa kwa kasi sana and most things now come easily, kuna mambo mengine ni magumu lakini mengine ni marahisi sana na ni budi kwa kila mwanaume kuyajua na kuweza kuyafanya.
Moja wapo ni hili la ujuzi wa kuweza kuendesha gari au pikipiki, hata kama huna, ni vizuri kujifunza na ukakaa na ujuzi wako, coz huwezi kupoteza kitu.
Nimeshangaa sana kuona a man mwenye zaidi ya miaka 35, hawezi kuendesha gari wala pikipiki na amekaa mjini miaka kibao. Hata kama huna, its better to find a way and learn. Sio unafikisha miaka 40 unapata ka gari kako unakapiga lebo ya Learner, au ndiyo unakuwa unababaika barabarani kisa ndiyo unajifunza.
Nashauri tu, kuwa na huu ujuzi wa driving ni kitu chema.
Ladies, advice your men to search for this knowledge.
Nawasilisha.