Swaziland wamenifurahisha wako natural, wengine wote amma wamejikoroga amma wamebandika nywele za maiti.
Katika tembea yangu niliwapenda sana vimwana wa Msumbiji. Wale waliochanganya na wareno, mnhhhhh, kiboko, sijapata kuona katika Afrika, labda Brazil.