Common Folk
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 909
- 4,049
Mwanamke alipewa 'domestic roles' kipindi cha transformation kutoka matriarch kwenda patriarch baada ya hapo wanaume wakawa wawindaji na wengine wahunzi na wengine wakulimawanawake toka enzi na enzi ndiyo wachapakazi wakuu kwenye miji yao.
Nilikutana na Mama Mzungu wa NewYork ana miaka 50 alikuwa mzuri sana huwezi kuamini kwamba ana miaka hiyo kwa umri.Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao.
Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo tunu tena, hawathamini ndoa kama jambo kubwa maishani mwao. Ndoa kwao wanakiona ni kitu cha kawaida tu ambacho unaweza kukiacha muda wowote.
Wanawake wa sasa wana ile mentality ya kwamba "Anachoweza mwanaume na mwanamke anakiweza pia". Hiki ndicho kinachowapoteza wanawake wa siku hizi. Hawajui toka enzi na enzi mwanamke ndiye alikuwa mchapakazi kushinda mwanaume ndani ya nyumba, yes, wanawake toka enzi na enzi ndiyo wachapakazi wakuu kwenye miji yao.
Lakini wanawake wa sasa hawana majibu ni kwa nini wanawake wa nyakati hizo they never left their homes kwenye hali yoyote ile. Hili ni ombwe ambalo wachache wana majibu yake.
Tuachane na hayo. Twende kwenye lengo la uzi.
Mwanaume unapooa zingatia yafuatayo:.
1. Men are Name-Bearers. Wewe ndiye kichwa cha familia, wewe ndiye mhimili wa uzao wako ujao. Kila mwanaume amezaliwa kutengeneza "ukoo". Yani wewe siku moja utakuwa babu uliyemzaa babu aliyemzaa babu akamzaa baba. Hivyo mwanamke asipozingatia ndoa usisite kumpiga chini maana she is just a vacuum.
2. Unapooa huyo mwanamke anakuwa wako physicaly and spiritualy. Ndiyo maana hata akifa atazikwa kwako/kwenu, haendi kuzikwa kwao. Hivyo mwanamke asiyejali ndoa anakuwa automaticaly ametoka nje ya hii dhana na hafai.
3. Mwanaume hamuhitaji mwanamke ili maisha yake yakamilike, ila ili maisha ya mwanamke yawe kamili anamhitaji mwanaume. Mwanaume amezaliwa akiwa "Complete", maisha yake yote anaweza asioe na akawa poa kabisa. Ila mwanamke asiye na mume ni hopeless and miserable. Hapa wanawake wengi huwa wanajidanganya pindi wakiwa kwenye 20s na 30s kwamba wako ok bila kuwa na mume, ila kawaangalie wanawake walio kwenye 40, 50, wasio na waume wanavyotia huruma kwenye jamii.
4. Ya mwisho kwa sasa mwanaume akifariki huwa tunauliza ameacha watoto? Kuuliza kama kaacha mke huwa ni geresha tu ila cha msingi huwa ni watoto. Ila akifariki mwanamke? Swali la kwanza huwa ni nini? Najua jibu unalo.
Hivyo itoshe kusema ndoa huwa ni zawadi kwa wanawake, kwa mwanaume ndoa siyo lazima. Kwa kuwa wanawake hawaithamini tena hii zawadi, basi nasi wanaume hatuna budi kunawa na kukaa pembeni.
Kuwa Domestic uone kama kuna rangi hutaiona.Lakini sasa wanachotaka kufanya ni transformation ya kutoka patriarch kwenda matriarch yaan sasa wanataka Mwanaume abakie nyumbani afanye 'domestic roles' na Mwanamke aingie mstuni akapambane na Simba na Chui
Miaka 50?Anatamani aolewe ktk umri huo ila hana matumaini ya kupa mume tena.
Kitu ambacho kitawacost sana, nature wont favor them❌Mwanamke alipewa 'domestic roles' kipindi cha transformation kutoka matriarch kwenda patriarch baada ya hapo wanaume wakawa wawindaji na wengine wahunzi na wengine wakulima
Kwa hio Mwanamke akawa anaachwa kufanya shughuli za nyumbani na kutunza watoto na shughuli za upishi
Lakini sasa wanachotaka kufanya ni transformation ya kutoka patriarch kwenda matriarch yaan sasa wanataka Mwanaume abakie nyumbani afanye 'domestic roles' na Mwanamke aingie mstuni akapambane na Simba na Chui
Kizazi cha sasa cha wanawake hawajui kinachoenda kuwakuta mbeleni, wanajikuta wao ni wanaharakati mpaka kwenye mambo ambayo hayahitaji harakati...Nilikutana na Mama Mzungu wa NewYork ana miaka 50 alikuwa mzuri sana huwezi kuamini kwamba ana miaka hiyo kwa umri.
Alinieleza mambo mazito ikiwemo anajuta kwanini Hakuolewa. Alikula sana Bata lakini anajioa ni Mpweke mpaka anaumwa.
Anatamani aolewe ktk umri huo ila hana matumaini ya kupa mume tena.
Wamekwambia wanajali kuhusu huyo Nature kwanza wanamuona huyo Nature km anawawangia tu yaan usichokijua wanawake wanatamani hata 'Yesu' pale msalabani angekua Mwanamke na sio Mwanaume, 'Mtume MO' wanatamani angekua Mwanamke sio Mwanaume, hio nimekupa za ndani kabisaKitu ambacho kitawacost sana, nature wont favor them❌
Toka enzi na enzi wanawake ndiyo chanzo cha matatizo, toka enzi za Hawa. Na sasa kinachoenda kutokea ni wanawake walewale wanaenda kuharibu utulivu wa mfumo uliokuwepo...Kwenye pita pita zangu za kurasa za vitabu nikakutana na hizi paragraph;
"... Eve had been perfectly happy by her husband’s side in her Eden home; but, like restless modern Eves, she was flattered with the hope of entering a higher sphere than that which God had assigned her ...
In attempting to rise above her original position, she fell far below it. A similar result will be reached by all who are unwilling to take up cheerfully their life duties in accordance with God’s plan ...
In their efforts to reach positions for which He has not fitted them, many are leaving vacant the place where they might be a blessing...
In their desire for a higher sphere, many have sacrificed true womanly dignity and nobility of character, and have left undone the very work that Heaven appointed them..."
Hizo paragraph zimenistua na kuelewa kumbe haya yote tunayoshuhudia ni mapinduzi ya mwanamke ili kuiharibu familia ya dunia.
Nakupitia serikali hizi hizi za 50/50 dunia inaenda kuwa tambala bovu, tushangae wadada wadogo kisa wana hela wanakwambia Ndoa ya nini?.Toka enzi na enzi wanawake ndiyo chanzo cha matatizo, toka enzi za Hawa. Na sasa kinachoenda kutokea ni wanawake walewale wanaenda kuharibu utulivu wa mfumo uliokuwepo...
Kataa ndoa ni uchaguzi wa vijana wa kisasa ulioibuka sababu ya kukosekana wazee waliodhibiti maadili ya vijana wanaopevuka.Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao.
Wanawake wanaothamini ndoa wapo Ila wengi ni WASHAMBA, hawana muonekano wa ukisasa, hawajui social media, bata na hawana ujanja wa wanawake wengi ambao vijana huwataka, si wanamke ambao kijana utajivunia kuwa una pisi kali, misimamo na woga wao wa ngono na kuishi kwa mwanaume huwafanya wasiwe options za vijana wengi, wale wachache wanaojua kuspot mke chap huwaoa hawa na maisha huwa yanaenda sawa tu.
Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo tunu tena, hawathamini ndoa kama jambo kubwa maishani mwao. Ndoa kwao wanakiona ni kitu cha kawaida tu ambacho unaweza kukiacha muda wowote.
Ni kweli, ila na vijana nao wamekuwa dhaifu. Hawajui kuchagua mke na mama wa watoto, wengi wanawakimbilia mabinti wajanja wajanja wenye vidigrii halafu wanafanya kosa moja kubwa mno kuoa huku kipato hakitoshi na hapo hapo binti ana ajira na malengo ambayo ni expensive plus na ni Pisi kali.
Wanawake wa sasa wana ile mentality ya kwamba "Anachoweza mwanaume na mwanamke anakiweza pia". Hiki ndicho kinachowapoteza wanawake wa siku hizi. Hawajui toka enzi na enzi mwanamke ndiye alikuwa mchapakazi kushinda mwanaume ndani ya nyumba, yes, wanawake toka enzi na enzi ndiyo wachapakazi wakuu kwenye miji yao.
Wanawake wa 70's na 80's kidogo hili halikuwa tatizo. Hapa 90's kuendelea ni tatizo.
Lakini wanawake wa sasa hawana majibu ni kwa nini wanawake wa nyakati hizo they never left their homes kwenye hali yoyote ile. Hili ni ombwe ambalo wachache wana majibu yake.
NAUNGA MKONO HOJA. Na naongeza, majukumu yako ni yako usimpe mwanamke ayafanye.
Tuachane na hayo. Twende kwenye lengo la uzi.
Mwanaume unapooa zingatia yafuatayo:.
1. Men are Name-Bearers. Wewe ndiye kichwa cha familia, wewe ndiye mhimili wa uzao wako ujao. Kila mwanaume amezaliwa kutengeneza "ukoo". Yani wewe siku moja utakuwa babu uliyemzaa babu aliyemzaa babu akamzaa baba. Hivyo mwanamke asipozingatia ndoa usisite kumpiga chini maana she is just a vacuum.
NAUNGA MKONO HOJA.
2. Unapooa huyo mwanamke anakuwa wako physicaly and spiritualy. Ndiyo maana hata akifa atazikwa kwako/kwenu, haendi kuzikwa kwao. Hivyo mwanamke asiyejali ndoa anakuwa automaticaly ametoka nje ya hii dhana na hafai.
Hapa nakupinga, Mwanaume anamuhitaji mwanamke tena pengine kuliko hata mwanamke anavyomuhitaji mwanaume. Mwanamke anaweza kuachwa mjane na asiolewe na akaishi bila shida ila si sisi wanaume, utatafuta tu mke. Esp ukiwa kwenye 50's na kuendelea. Mwanamke anaweza kaa bila mume na watoto ila ni vigumu sana mwanaume kukaa bila mwanamke.
3. Mwanaume hamuhitaji mwanamke ili maisha yake yakamilike, ila ili maisha ya mwanamke yawe kamili anamhitaji mwanaume. Mwanaume amezaliwa akiwa "Complete", maisha yake yote anaweza asioe na akawa poa kabisa. Ila mwanamke asiye na mume ni hopeless and miserable. Hapa wanawake wengi huwa wanajidanganya pindi wakiwa kwenye 20s na 30s kwamba wako ok bila kuwa na mume, ila kawaangalie wanawake walio kwenye 40, 50, wasio na waume wanavyotia huruma kwenye jamii.
Hii ni kwasababu ya jukumu la mwanaume katika jamii. Lazima iulizwe iwapo ameacha watoto sababu wanabeba jina lake na yeye alipaswa kuwa mlinzi wa hao watoto na kwasababu hayupo basi ni lazima ndugu na marafiki wachukue hilo jukumu. Tatizo ni kuwa kwa jamii ya sasa vijana wanazaa na wala hawawalindi watoto wao, hawajali na mara nyingine hawawatambulishi kwa wazee wao wa ukoo kuwa hii ni damu yetu.
4. Ya mwisho kwa sasa mwanaume akifariki huwa tunauliza ameacha watoto? Kuuliza kama kaacha mke huwa ni geresha tu ila cha msingi huwa ni watoto. Ila akifariki mwanamke? Swali la kwanza huwa ni nini? Najua jibu unalo.
Hivyo itoshe kusema ndoa huwa ni zawadi kwa wanawake, kwa mwanaume ndoa siyo lazima. Kwa kuwa wanawake hawaithamini tena hii zawadi, basi nasi wanaume hatuna budi kunawa na kukaa pembeni.
Ukweli ni kwamba Nature ni kubwa kuliko mwanamke na mwanaume. Itabalance mambo tu na kila kitu kinakuwa kama inavyotakiwa kuwa.Kizazi cha sasa cha wanawake hawajui kinachoenda kuwakuta mbeleni, wanajikuta wao ni wanaharakati mpaka kwenye mambo ambayo hayahitaji harakati...