hahahaha labda na hao waliokaa hapo ni ladies tutajuaje
sio kila mtu anajua kusoma, pia wanaonekana kama wakimbizi maana nyuso zao zimejaa mashaka na kukata tamaa ukute wako kwenye nchi ya watu nawao pengine wanajua kisomali tu ndio maana wakati mwingine ni muhimu kuweka maandishi napiacha usije ukakutwa choo cha kike unafukuzia kupiga chabo ukajifanya hujui kusomaa maana utaulizwa hata hiyo ishara ya kaledi kalichovaa gauni hukukaona hivyo unashushiwa kipondo tu
eeeh mungu tusamehe sisi waja wako kwani hatujui tulitendaloMbona wachafu,pale Bangkok tunawaita malady-boy huwezi kuamini kama ni wavulana na ni wakumwaga ndio maana wazungu wanapenda kwenda Bangkok na ni mambo yaliyohalalishwa ila hao wa india wanajina lao na wanachukiwa sana wao huwa wanafanya operation ya kuukata uume wao,ndo maisha
Mbona wachafu,pale Bangkok tunawaita malady-boy huwezi kuamini kama ni wavulana na ni wakumwaga ndio maana wazungu wanapenda kwenda Bangkok na ni mambo yaliyohalalishwa ila hao wa india wanajina lao na wanachukiwa sana wao huwa wanafanya operation ya kuukata uume wao,ndo maisha