for jf guys only: unaweza kupiga bao ngapi

minimum mimi huwa napiga sita per day.
 
Ewaaa! wewe sasa ndo umekuja kumaliza tatzo maana tulitaka tuanze kumrushia mawe muda si mrefu,mimi naendelea vizuri kwakweli sijui kwako mkuu!

mwenzenu ataka kujua unapiga ngapii mmekimbia swali aya bwana
 
me mzima namshukurU Mungu embu nipe michakato ya huko aisee ...... nimekwama hapa nataka unikope hela upo tayari aisee chalii

We chalii umeakuaje aise yaani januari hii unaleta zazko za kukopa hela aise miss chagga michakato haijakaa njema kabisa mifuko imetoboka mpaka imetokelezea upande wa pili
Salama tu mkuu Rocky mwaka umeanza vizuri nimejikita katika ufugaji wa flamingo.
charger una kibali cha maliasili au unataka wakuite na wewe jangili au ile operation tokomeza unataka ije kwako nini
 
Last edited by a moderator:

je anaubia na wachina ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…