For Hacking Bigginners and Pro if your Interested

yoyote anae tumia tools amabyo hakutengeneza ni script kiddies?
80% nguvu yake na ubunifu wake katika kuingia kwenye system, 20% katumia tools flani ili kuingie kwenye system nae anakuaje?

Python, c/c++, java, perl, Lisp, html/css/javascript ni lugha zinazo tumika hasa katika hacking.. najiaminisha 99.99% hizo lugha kuna sehemu utajikuta unapwaya na ndipo hapo una poazima ujuzi sehemu, japo kwa 0.5% ya kazi zako.

 
Unakijua unachokiulza, 98% na uhakika unakijua,
I will not repeatedly
post the answer to the
same question. But don't be
intimidated, feel free to ask. 10x
.
 
Basi inabidi hata programming language utengeneza yako, maana hata hiyo C/C++ kuna watu walikaa chini wakaumiza kichwa, leo hii unaitumia katika shughuli zako.. moja wapo ni hyo ya kutengenezea tools mbali mbali kwa ajiri ya hacking...


Unakijua unachokiulza, 98% na uhakika unakijua,
I will not repeatedly
post the answer to the
same question. But don't be
intimidated, feel free to ask. 10x
.
 
nilidhani unajua unacho kiuliza kumbe bado unahtaji maelekezo kaka?
.
Basi inabidi hata programming language utengeneza yako, maana hata hiyo C/C++ kuna watu walikaa chini wakaumiza kichwa, leo hii unaitumia katika shughuli zako.. moja wapo ni hyo ya kutengenezea tools mbali mbali kwa ajiri ya hacking...
 
C++ umefanya upotoshaji mzuri tu!
Nikipata muda nitasema kwa nini. Ila kumbuka unaweza kudukua hata simba za Ubuntu au hata GCC na bado ukawa mdukuzi na sio toto tundu 🙂
 
Last edited by a moderator:
C++ umefanya upotoshaji mzuri tu!
Nikipata muda nitasema kwa nini. Ila kumbuka unaweza kudukua hata simba za Ubuntu au hata GCC na bado ukawa mdukuzi na sio toto tundu 🙂

yeah mkuu nategemea unifungue ni wapi weakness yangu ilipo!
Nakutegemea sana mkuu! Mana pia neno Mdukuzi/udukuzi sielewag kama lina maana ya hacker au la!
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi nitasimama negeative ili kunufaika zaidi, nimekuelewa vyema mkuu. ila naomba unitofautishie kati ya Admin na Script kiddies katika issue nzima ya hacking
nilidhani unajua unacho kiuliza kumbe bado unahtaji maelekezo kaka?
.
 

Bilashaka hata microsoft word unayotumia wewe umei-code mwenyewe! Kazi hasa ya computer ni kukurahisishia wewe kazi kama vile ilivyo calculator. Hii imani yako naifananisha na ile imani walikuwaga nayo wazazi zamani kuwa mtoto akisoma masomo ya science basi anakuwa na akili kuzidi yule atakayesoma arts!
 
Wadukuzi wengi hutumia tools amabazo zimetengenezwa na Coder, mfano ni hawa Admin. Je hawa Admin tunawatofautisha vipi na Script kiddies? Pia script kiddies anatumia software au tools ambazo zimetengenezwa tayari na hawa husababisha hasara kubwa zaid ya wadukuzi wengine kutokana na kutofata taratibu za udukuzi kwenye mfumo.

C++ umefanya upotoshaji mzuri tu!
Nikipata muda nitasema kwa nini. Ila kumbuka unaweza kudukua hata simba za Ubuntu au hata GCC na bado ukawa mdukuzi na sio toto tundu 🙂
 
Ila mkuu, pia Admin hutumuia tools zilizo tengenezwa na Coder ... ni kweli najua Admin na Script kiddies hawalingani, kwasababu kuna fata taratibu za udukuzi amabe ni Admin ila huyu Srcipt kiddie yeye hafati taratibu hizo... Unaweza nipatia hicho kitabu pia

.
Kama kwenye red una maana ya administrator,
basi havina uhusiano wowote na kiddies!
.
Tupo pamoja sana,
kuna kitabu nimempa Secret Service
kinaweza kikakusaidia,
.
 

.
Hapa nnakuacha hivyo hvyo,
.
Kuna siku utakielewa ulicho, kiandika,
then u will know how fool you r!!
.
 

.
Aaa ni hivi, kaka,
hata mimi natumia softwares za watu kufanya, vitu vyangu,
Ila script kiddie yeye anatumia, softwares za ma Black hat, yaan HACKER amekaa, akatengeneza hacking tool yake ili watu waitumie, mtumiaji yule ndiye script kidy
Ila admin anatumia softwares kwa nia njema tu sio hacking,
.
tupo pamoja hapo
 
Hapa umemaliza. Na tumeelewana sasa.

 
Mkuu mi najua Politics tu, ila napenda Kuhack..nifundishe mkuu

.
Achana na hacking
Kabisa kabisa, mana hii kitu,
NI LIFE STYLE
YAAN MAISHA YAKO YA KILA SIKU,
dats why rejea pale juu nimesema UNATAKIWA KUWA NA MUDA,
.
Nadhan tupo pamoja!
 
1. What is a hacker?
2. What ia script Kiddie?

Side note:
1. One can be a hacker without being a Programmer (white/black makes no difference)
2. One Can be a kiddie and be a programmer
3. Admin can be a hacker, kiddie or none.
4. You can hack Ubuntu code, Server, or even your Samsung S4 gadget.
5. Being a programmer makes you just that, a programmer. And being a hacker makes you a hacker!
 
Wakuu kuna hii kitu inaitwa Certified ethical hacker (CEH) hiv kunachuo chochote kinachofundisha hii course hapa tanzania
 
.
Hapa nnakuacha hivyo hvyo,
.
Kuna siku utakielewa ulicho, kiandika,
then u will know how fool you r!!
.

Sawa kiongozi, mimi isitoshe sihitaji kuwa hacker wa namna yeyote! we endelea tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…