Mwanzo mwisho umenisema tuuuuu, but hujanipa pa kuanzia aswaaaah... Nimesoma C++ Introduction to high level programming kama jina lako. Ila kama course na sio kujifundisha. Unanishaurije?
.
Any way thanks mkuu!
.
I feel guilty for people who make fun of Hacking
by saying "I can hack you're
facebook, Now bow before
me!" and they are real seriously!
Nafikiri hacker wengi hutokea huko kwenye Script kiddies, then kadri anavyo endelea ndivyo anavyo jifunza mbinu binafsi kutokana na madhaifu ya sehemu ambazo alikua ana hack.
Kuna vitu ukijua kama Programming unakua na faida ya kutengeneza baadhi ya tool zako mweneyewe unapo taka kuingia katika system flani, ingawa unaweza ukawa haujui Programming na ukawa hacker mzuri. Ila naamini ukijua vizuri Programming, Elecrtonics na Network vizuri kuna uwezekano wa kua hacker mzuri sana, tofauti na asie jua hivyo vitu.
Those who use ready made Software like SET or tools coming with BT5/Kali are script kiddies right?
Stealing things with Ethereal/whatever it new name is script kiddie-sh right?
I thought you can be a hacker using others tools like Cain and Abel or Oph'crack!
So I was wrong... :bored:
.
Nice keep it up , up
but kwenye red Natofautiana na wewe mkuu,
HUWEZI KUNYIMWA FUNGUO, NA UKAWEZA KUFUNGUA KITASA BILA KUKIJUA KINAFUNGUKAJE
.......na maanisha kwa mfano> ukijua ku code websites n.k basi atleast mambo mengne yatajipa ktk websites hacking
Mkuu, kuna vingi vya ku hack, si lazima tu website...
Kuna system ili uhack ni kweli utatakiwa uwe na uelewa wa programming hasa C/C++.
Nakuna system unadumbukia ndani hata kama haujui programming.
Narudia anaejua programming anakua mkali zaidi kwasababu anakua na uwezo wa kutengeneza tools zake mwenyewe kutokana na mahitaji ya system anayotaka kuingia.
nimekuelewa vizur mkuu Ila Kwenye red hapo mkuu unatakiwa kutoa fact > mana hi ni sc&tec inahitaji sana fact!
Any way thanks mkuu
Katika kipindi hiki, unakuta kuna tools tayari zimetengenezwa which helps to compromise a machine pasipo kua na knowledge ya programming, mfano havij.. na haimaanishi kutumia tools hiyo basi unakua script kiddies.