mie bana kwenye uzazi sikumbuki kupata matatizo sana zaidi ya hofu ya kujifungua......ilikuwa ana ana do - c-section au natural! lakini kila kitu kilienda sawa, na hata sikuwahi kuumwa zaidi ya morning sickness ya kawaida!
tatizo inasemwa kila mimba ia mambo yake na uchungu haufanani! ndo mtihani huoooo