Zeddicus Zu'l Zorander
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 804
- 956
,mmh haya ngoja nilishushe niangalie lilivyo.
Kweli inabidi ulianze tena, mwanzoni linakatisha tamaa kiasi lakin ukishazoea maisha yanakuwa rahisi..mi nnalo ila sijui kwa nini halijanivutia kivile kama kina COD...!!? nilicheza kidogo tu then nikaliacha...ngoja ntalianzia tena labda nione..
Naomba link kama kuna mobile version
dah nimelicheza mkuu lipo poa sana alfu kumbe ni latest halina muda mrefu!!!!
daahh mie mzito sana kucheza shooter games huwa zina nchosha
Yap inawezekena, ndio maana mi huwa sina haraka nalo nikicheza mission moja nikachoka, nahamia FIFA 13 huko hata kama nimechoka nikikutana na wabaya wangu, mpaka kieleweke.
dah nimelicheza mkuu lipo poa sana alfu kumbe ni latest halina muda mrefu!!!!
link hiyo hapo mkuu nimelishusha kupitia torrent.naomben link wadau tufaid w3oteeee
nishaweka link mkuu tayari na hako kajamaa kako kanakoenda shule hakafiki tu!!!Hebu nitupieni na mimi link nipakue hii game
Unacheza online??
dah sijapata kuona game wanatukana kama hili aisee yaani baada ya dk 2,3 unasikia mother***** hujakaa sawa shut the f** up duh hilikalifai kwa watoto.
haya gameplay trailer hiyo hapo!!!!
yaani nimecheka sana jamaa kila akikimbia anadkwa alfau mshenzi anmuulizia did i tell you the meaning of insane????,basi nimecheka mpk nimeonekana chizii!!!!!Huyu mjinga anatia hasira mpaka mtu inabidi ucheke tu....