digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,493
- 23,330
Lini na wapi wamelalamika? Kwani kuhama ni ajabu?
Manabii pia walihama kutoka mji mmoja kwenda mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA haikununua watu ila sasa kuna madai ya watu wananunuliwa na wengine kutishwa.
Kitakachotokea ni watu kupuuza na kususia siasa na wengi kutopiga kura wakati wa uchaguzi mkuu baadae mwaka huu.
Tambueni CCM haiwezi kukubaliki kwa mbinu hizi.
Hii hoja ya kununuliwa inashangaza. Wanasiasa wakubwa wakubwa kabisa eti wananunuliwa kama maembe sokoni.CHADEMA haikununua watu ila sasa kuna madai ya watu wananunuliwa na wengine kutishwa.
Kitakachotokea ni watu kupuuza na kususia siasa na wengi kutopiga kura wakati wa uchaguzi mkuu baadae mwaka huu.
Tambueni CCM haiwezi kukubaliki kwa mbinu hizi.
Ndoto ya ArnachaCHADEMA haikununua watu ila sasa kuna madai ya watu wananunuliwa na wengine kutishwa.
Kitakachotokea ni watu kupuuza na kususia siasa na wengi kutopiga kura wakati wa uchaguzi mkuu baadae mwaka huu.
Tambueni CCM haiwezi kukubaliki kwa mbinu hizi.
Lowasa aliwafanya makamanda wajione wao Ndio wanajua siasa
CHADEMA haikununua watu ila sasa kuna madai ya watu wananunuliwa na wengine kutishwa.
Kitakachotokea ni watu kupuuza na kususia siasa na wengi kutopiga kura wakati wa uchaguzi mkuu baadae mwaka huu.
Tambueni CCM haiwezi kukubaliki kwa mbinu hizi.
Mleta mada hebu nijibu hili nijue kama una akili timamu;
Hao viongozi wa CDM walijichagua wenyewe au walichaguliwa na wapiga kura ambao kimsingi ni wanachama na washabiki wa CDM ambao ndio wanawakilisha existance ya chama?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Bajeti ya ajira mpya ndio imeingizwa kwenye manunuzi , ni hela za hazina .CHADEMA haikununua watu ila sasa kuna madai ya watu wananunuliwa na wengine kutishwa.