Wana JF Naombeni msaada wenu katika haya machache;
Katika football, lets say timu A inacheza na timu B, kila timu inatakiwa kubadilisha wachezaji wangapi kwa mchezo?
Second qn; Lets say hiyo idadi imetimia, then mmoja kati ya waliopo uwanjani akaumia na haiwezekani kuendelea kucheza, timu husika inaruhusiwa kuingiza mchezaji mwingine kumreplace yule aliyeumia?
Third; Mpira ukitoka nje ama they call it corner, at what time unatakiwa kurushwa kwa mkono ama kupigwa kwa mguu? Ama ni option kurusha ama kuupiga?
Asanteni