Ila kuna wachezaji wamepotea kabisa. Kuna mchezaji wa zamani kidogo alikuwa Manchester anaitwa Anderson kalikuwa kafupi kanakimbia balaa kalienda wapi?
Akina nani, hawasikiki sijui walienda wapi? Au mimi ndo nimezeeka sifatilii mpira kama zamani?
Ila zamani nilikuwa napenda mpira balaa yaani nilikuwa naenda hata vibandani dah.