arrg wee mbu umeshaniharibia weekend....mods ondoeni hii thread
arrrg mbu unataka kutaka watu walio na machozi ya karibu waanze kuangua vilio hapa......ya foe nilisikitika sana kusema ukweli jamaa mpaka leo yuko kichwani....RIP foe
arrrg mbu mambo gani haya? thread hii sio ya weekend bana....sasa unanifanya beer haishuki vizuri napata wenge na usiku huu.....uwiiiiiiii chikwala kwala
...te he hee...sasa nawe kama inakutisha unaiangalia ya nini sasa? hata 'Bellies' wa Masa namuona anakula chabo japo Masa alisema 'thread imemliza' mamaa...
Is it that addictive au ndio 'mambo kama mbagala', ...weshasikia mabomu yanalipuka wao wanakimbilia kuangalia cha kuhadithia?
Kama mtu unaroho nyepesi usiendelee kuisoma thread hii... naendelea kuweka 'mashada ya maua kaburini'...
Umenionaje mkuu? Maana ni kweli nilikuwa nachungulia tena kama bado zipo.Mara ya kwanza nilifungua moja baada ya nyingine, ilipofika ya Foe nilipatwa na hisia kali za huzuni mpaka chozi.
Kweli kabisa,ni sad moments! Kama Foe, dah! we acha tu, ile siku iliniachia huzuni katika kandanda.Wote wapumzike salama!..
Na bado Gunners mnapata kipigo baadae kweli weekend itakuwa mbayaarrrg mbu mambo gani haya? thread hii sio ya weekend bana....sasa unanifanya beer haishuki vizuri napata wenge na usiku huu.....uwiiiiiiii chikwala kwala
Na bado Gunners mnapata kipigo baadae kweli weekend itakuwa mbaya