Football saddest moments! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Football saddest moments!

Discussion in 'Sports' started by Mbu, May 15, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  Rest in peace
  Al-Shoaibi, Mark Vivien Foe, Antonio Puerta, Miklos Feher...
  Thanks for the Joy you gave us while watching You Playing!

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=Bxq_iesivX8&feature=related"]YouTube - ( R.i.p ) - MIKLOS FEHER - ( R.i.p )[/ame]​

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=OiF9rXf5Di8&feature=related"]YouTube - hommage marc vivien foé[/ame]​

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=2QmBgOxZZVU&feature=related"]YouTube - R.I.P Antonio Puerta Dies (1984-2007)[/ame]​

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=9UgeJq4I7do&feature=related"]YouTube - Saudi Arabian Soccer Player dies on feild[/ame]​
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kumradhi kama kuna wataotokwa machozi au kuingiwa na simanzi kwa video hizo,...zimenikumbusha mbaaaali ndio maana nikaona heri ni share nanyi. I hope kuna wanaomkumbuka Husseyn Tindwa (Marehemu.)

  Mungu awalaze pema.
   
 3. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #3
  May 15, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arrrg mbu unataka kutaka watu walio na machozi ya karibu waanze kuangua vilio hapa......ya foe nilisikitika sana kusema ukweli jamaa mpaka leo yuko kichwani....RIP foe
   
 4. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arrg wee mbu umeshaniharibia weekend....mods ondoeni hii thread
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ha ha haa.... acha hizo kakaa.

  hii ni maalumu kwa wapenzi wa michezo, hususan kandanda...kwani pamoja na starehe zote wanazotupa, pia kuna mawili matatu yakuhuzunisha yalopata kutokea.

  Mungu awalaze pema.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  MoD ondoeni hii bana, was in Germany with Friends watching this on Big screen siku hiyo.Foe akifa...sad sad....unajua mkuu matukio ya hudhuni huwa hatupendi yakumbuka....I am so touched, Bellies cried....is not funny kamanda!
   
 7. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #7
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ..the most painful kwangu ni hiyo ya Ferer,...imagine Refa ndio kwanza kampa yellow card,...halafu taratibu anaanguka... (sob!)  Halafu nyingine iliyonitoa machozi ni team nzima ya Zambia iliyokufa kwenye ajali ya ndege kule Gabon, 1993...
  • (goalkeeper) Efford Chabala*****
  • (defender) John Soko
  • (defender) Whiteson Changwe
  • (defender) Robert Watiyakeni
  • (midfielder) Eston Mulenga*****
  • (midfielder) Derby Makinka*****
  • (midfielder) Moses Chikwalakwala*****
  • (midfielder) Wisdon Mumba
  • (striker) Kelvin Mutale*****
  • (striker) Timothy Mwitwa
  • (midfielder) Numba Mwila*****
  • (goalkeeper) Richard Mwanza
  • (defender) Samuel Chomba
  • (striker) Moses Masuwa
  • (defender) Kenan Simambe
  • (midfielder) Godfrey Kangwa
  • (defender) Winter Mumba
  • (striker) Patrick Banda
  Team managers Godfrey Chitalu***** na Alex Chola*****. (sob!) :( yaani hao niliowapa nyota tano ndio kabisaaa wananiuma kitu... Kalusha Bwalywa naye aliponea siku hiyo ila alipata udhuru, hakusafiri na wenzake.

  RIP all yer, Great heroes!


  [​IMG]
  Back Row L-R: Efford Chabala, Stone Nyirenda, Derby Makinka, Charles Musonda, Eston Mulenga & Wisdom Chansa
  Front Row L-R:Whiteson Changwe, John Soko, Great Kau, Lucky Msiska & Ashios Melu
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...nyie vipi bana?

  yaani kila siku mnataka kuongelea kuhusu furaha tu? tujikumbushe fallen heroes jamani,...acheni woga bana. Yaani hata siku mkisikia roho imeacha mwili wa mbu ndio mtani brush off namna hii?

  ...not fair bana. Mods wa Jukwaa hili mnasemaje? kama wengi wape basi, nitaridhia japo kwa shingo upande. :(
   
 9. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #9
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...honestly, Zambia ile ilikuwa the best team 'ever' ku represent mataifa ya kusini mwa Africa. Bwalya alipiga hat-trick kwenye game hii dhidi ya Italians...:)

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=KwbIosklxkk&feature=related"]YouTube - Italia-Zambia 0-4[/ame]

  siku hizi tunabakia kushabikia West Africans, kina Cameroon, Ivory Coast, na Senegal... arrrgghh
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  arrrg mbu mambo gani haya? thread hii sio ya weekend bana....sasa unanifanya beer haishuki vizuri napata wenge na usiku huu.....uwiiiiiiii chikwala kwala
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...te he hee...sasa nawe kama inakutisha unaiangalia ya nini sasa? hata 'Bellies' wa Masa namuona anakula chabo japo Masa alisema 'thread imemliza' mamaa...

  Is it that addictive au ndio 'mambo kama mbagala', ...weshasikia mabomu yanalipuka wao wanakimbilia kuangalia cha kuhadithia?

  Kama mtu unaroho nyepesi usiendelee kuisoma thread hii... naendelea kuweka 'mashada ya maua kaburini'...
   
 12. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Umenionaje mkuu? Maana ni kweli nilikuwa nachungulia tena kama bado zipo.Mara ya kwanza nilifungua moja baada ya nyingine, ilipofika ya Foe nilipatwa na hisia kali za huzuni mpaka chozi.
  Kweli kabisa,ni sad moments! Kama Foe, dah! we acha tu, ile siku iliniachia huzuni katika kandanda.Wote wapumzike salama!..
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=lGbB0AzsS48]YouTube - Zambia national soccer team tribute(our fallen heroes) 23th April 1993[/ame]

  The real KK (Keneth Kaunda) 11.
  Ohh, :( RIP our dear Brothers!
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...that's it!

  ...hilo chozi lako haliendi bure bure,...angalau umesafisha 'roho' yako kidogo, na dua zako mw'mungu azipokee, Amina.

  Lengo langu sio kutisha watu au kuwatoa watu mood za wikiendi. Ni katika kukumbushana tu, kwani katika tisa tunayofurahia, tukumbuke hayatimii kumi bila hilo moja ambalo ni kifo!

  Wenzetu wamekufa vifo vya ghafla mno, lakini haliondoi kumbukumbu nzuri kwa burudani waliyotuonyesha kwa vipaji vyao mpirani!

  I rest my case.
   
 15. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #15
  May 16, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  ila nimejiuliza maswali mengi sana....wengi wamefariki kwa heart attack....hivi mnajua sasa hivi heart attack,cancer,kisukari ni magonjwa yanayoua kwa sana tanzania...
  ...watu wanajilia ovyo vyakula.....hawafanyi mazoezi.......wanakuza vitambi kama ishara ya wealth.......kama huna kitambi=huna pesa.....

  ......sasa hivi naona wa SA wanatuletea mavyakula mataka taka na sisi tunapanga foleni kuyanunua tena kwa bei ghali eti ni uzungu......
  .....mbongo leo hiii msomi huwezi kumkuta anakula mchicha,mboga mboga eti ni vyakula vya maskini.....wenyewe wanakula makuku na soda za kwenye makopo mixa redbull....

  ...nani kamuona kikwete majuzi kwa ukaribu? utalia jamaa kazidi kuwa kibonge tumbo hukoo.....
   
 16. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #16
  May 16, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,262
  Likes Received: 4,236
  Trophy Points: 280
  Na bado Gunners mnapata kipigo baadae kweli weekend itakuwa mbaya
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  May 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...be nice Belo, be nice bro...:)

  ...Graphic, don't watch!...

  .....you've been warned!

  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=YQmuz9qLjYU"]YouTube - Man United fan eating lion[/ame]

  ...I told you!
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  May 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=L_-mHqQvvkg]YouTube - Football Sad & Tragic Moments[/ame]

  ...and my heart goes to...
  Samuel Kuffor, Bayern Munich vs Man United!
   
 19. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #19
  May 16, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  [ame=http://www.youtube.com/watch?v=MUW8wFOytiY]YouTube - Andres Escobar Own Goal in 94 World Cup[/ame]

  ...RIP Andreas Escobar!

  Shot for conceding own goal in 1994 World Cup finals, ...

  what a shame...(sniff!)
   
 20. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  RIP all guys....true these were the saddest moments in football!
   
Loading...