kichwangum
Member
- Nov 10, 2024
- 44
- 64
Habar za humu ndani,natumai ni wazima wa afya.
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimebahatika kufika chuo,saiz nipo mwaka wa pili.
Nilikua ninawazo la kuwa mbunifu wa jezi za mpira wa miguu katika sekta ya michezo hapa Tanzania.
Naomba mchango wenu nianzie wapi wakubwa.