Hii ni kabila gani ingawa nimeelewa maanaWrite your reply...inguma jaako jikunuunga
Hapo yamepewa 20tsh ili yatumike kubariki wizi wa hazina ya taifa dah inauma sana Jwtz wapo tiss wapo ila haya yanaruhusiwa yatokee. IPO siku vyombo vyetu vya Dola Kwa kutowajibika kwao watasababisha wananchi waitetee nchi yao kimababvu Sasa.Ukitaka kujua akili zetu tazama msafara wa kuchukua hizo karatasi wakati hamna uchaguzi wamejipa tu utawala!
Tuna akili sawasawa sisi kweli? Hata Gorilla na manyani huko porini yanajua economy kuliko hawa wasomi wetu aisee!
Ni huku nchi za kijima tu utaona haya mambo ya kijinga kama hayo.Mh! protocol za kazi zao unazijua au unafikiri taasisi ya urais inaendeshwa kama genge la mabodaboda!..😅
Sawasawa ila vichwa mundu mpo wengi hata kuelewa komenti yangu imegusia nini hamuelewi..Ni huku nchi za kijima tu utaona haya mambo ya kijinga kama hayo.
Nchi zenye watu wanaojitambua hutona huu upuuzi.
Na baya zaidi uelewa wa watu wetu kuhusu matumizi sahihi ya kodi zao ni mdogo sana ndio maana wanasiasa wapuuzi wanafuja pesa hizo bila hofu huku wakishangiliwa na wenye uelewa mdogo kama wewe.
Sawa.Sawasawa ila vichwa mundu mpo wengi hata kuelewa komenti yangu imegusia nini hamuelewi..
Wewe acha tu sindano ikuingie sawa sawa upone maradhi ya chukiHivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?
Just curious tu wandugu, povu ruksa
Unajiona uko sawa kupinga kila kituAkili za namna hii ni takataka kwa Taifa
Zikwapi hizo fomu nasie tuone alipokosea???
SsProfessor Assad alisema tuna ujinga wa kihalaiki.
Angalia video, imewekwa kwa faida ya members...Zikwapi hizo fomu nasie tuone alipokosea???
Wewe acha tu sindano ikuingie sawa sawa upone maradhi ya chuki
Pesa za umma zingipigwaje?Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?
Just curious tu wandugu, povu ruksa
Wana pesa za Tanganyika za kuchezeaHivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?
Just curious tu wandugu, povu ruksa
Mbona itakua matumizi mabaya sana ya chuki...😂😂😂Yani namchukia mama samia? Mbona itakua matumizi mabaya sana ya chuki sasa! Uzuri ana maisha yake na mie nina yangu hatuna mahusiano, why nichukie mjasiriasiasa na mie mjasiriamali, mbalimbali!
Ukizidisha kuchamba,unaondoka na mavi!Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?
Just curious tu wandugu, povu ruksa