Fomu za urais wa shithole

Fomu za urais wa shithole

Tunapambana kulazimisha tuonekane tunapendwa na tunaungwa mkono.

We ulisikia wapi watu wanahamasishwa kushangilia rais akiwa anaingia? Kama mtu anapendwa si atashangiliwa kwa hiari?

Maskini nchi yangu dah, yani imerudi chini kabisa kuliko ilivyokuwa enzi za ujima!
 
Kama unaona hata huko walipoanzia hawana protocol za kazi basi wewe ni zwazwa la mwisho!,
Una uelewa finyu kichizi
Msururu wa magari umeutafsiri kwamba unasababishwa na protocol
Nimekwambia protocol zilipoanzia hawana huo upuuzi wa misururu ya magari namna hiyo japokuwa wanazifahamu sana protocol kuliko nyie
Majibu yako yanasadifu uelewa wako mdogo
 
wewe ndio zwazwa mkuu na hautaelewa ati!, hapa ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa
 
Una uelewa finyu kichizi
Msururu wa magari umeutafsiri kwamba unasababishwa na protocol
Nimekwambia protocol zilipoanzia hawana huo upuuzi wa misururu ya magari namna hiyo japokuwa wanazifahamu sana protocol kuliko nyie
Majibu yako yanasadifu uelewa wako mdogo

HAwa watoto bana, kwani miaka yote hakukua na protokali? Hii ya mayutongi ndio protakali ya kisasa au ya mama tu, wamama wakiwezeshwa wanaweza!

Au ndio give them a seed they give you baby?😛
 
Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?

Just curious tu wandugu, povu ruksa
Au hata kila mtu angezipakuwa mtanadoni kimya kimya wakazijaza kimya kimya wasingetiki October?
 
Au hata kila mtu angezipakuwa mtanadoni kimya kimya wakazijaza kimya kimya wasingetiki October?

Ndio maana tunasema bado sisi manyani tunaprogress kuwa binadamu kule baadaye! Tunajua kuzima tu mitandao kwa switch tulizowekewa na rostam
 
Mh! protocol za kazi zao unazijua au unafikiri taasisi ya urais inaendeshwa kama genge la mabodaboda!..😅
Sasa kama yeye ni raisi anagombea nini tena apa ni shit hole tu eti bunge limevunjwa raisi hajajivunja na mawaziri wapo ndo katiba inavosema.
 
Hivi wangeenda kuzibeba hizo karatasi kwa Land cruiser 2 au 5 na walinzi wao, kenge wasingetiki oktoberi?

Just curious tu wandugu, povu ruksa
Wenye akili hatuna kazi kazi wanachukuwa machawa sasa watu wote wale wamekosa mawazo kama aya mkuu.
 
Nimeamini lisu aliposema hakuna uchaguzi alikuwa sahihi Sasa ccm inashindana na nani? Kweli Tiss imeshuka viwango.
 
Wajinga ni wengi yaani unabakili zako timamu tena mwanaume na mshededde eti na wewe unapanda gari kumsindikiza samia kabisa kuchukua fomu ya kuwa Rais?. Huyu samia bora hata Shilole.
 
Nimeamini lisu aliposema hakuna uchaguzi alikuwa sahihi Sasa ccm inashindana na nani? Kweli Tiss imeshuka viwango.

Ukitaka kujua akili zetu tazama msafara wa kuchukua hizo karatasi wakati hamna uchaguzi wamejipa tu utawala!

Tuna akili sawasawa sisi kweli? Hata Gorilla na manyani huko porini yanajua economy kuliko hawa wasomi wetu aisee!
 
Ndio maana tunasema bado sisi manyani tunaprogress kuwa binadamu kule baadaye! Tunajua kuzima tu mitandao kwa switch tulizowekewa na rostam
Kitendo tu cha kuruhusu mtu mke asiyekuwa na background ya elimu ama ufanisi ktk jambo lolote kuchukua fomu za urais kinatia kinyaa.l
 
Kitendo tu cha kuruhusu mtu mke asiyekuwa na background ya elimu ama ufanisi ktk jambo lolote kuchukua fomu za urais kinatia kinyaa.l

Hii inaprove wanawake wakiwezeshwa wanaweza, kawezeshwa kushika hazina sasa anamwaga tu kama vile yupo kicheni pati!
 
Back
Top Bottom