Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,072
Sheria iko wazi sana. Ufafanuzi ni kwamba mgombea anatakiwa apate wadhamini kwenye mikoa isiyopungua minne na isiyozidi kumi.
Duh!!!Siyo uwoga bali IMANIAcha uoga ndugu! Jiaminiiiiiii!!!!!!
safi sana mko makini sana, kweli mwaka huu lazima kieleweke hatua kwa hatuaJana,wagombea wa CCM na CHADEMA walikwenda Mahakama Kuu ya Tanzania kusaini fomu za kuwasilisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kulingana na matakwa ya Sheria za Uchaguzi. Wote wawili walijitokeza mbele ya Jaji Kihiyo.
Wakati Magufuli akiwasilisha fomu 40 za kusainiwa,Lowassa aliwasilisha fomu 6. Hiyo ni kwa mujibu wa Msajili wa Mahakama Kuu ya Tanzania,Mh.Kayoza. Kimahesabu,Lowassa hakuwasilisha fomu 34.
Fomu nyingine za Lowassa ziko wapi? Kwanini siziwasilishwe nazo kwa kusainiwa? NEC yaweza kumuengua asipotimiza masharti.
=================================
Chanzo: Mtanzania
Mkuu, hiyo hoja hata mimi imenichanganya. Ina maana NEC walifanya makosa kumpatia fomu pungufu ama kuna fomu ambazo hakutimiza masharti yake? Tatizo ninaloliona mimi kwa miaka mingi ni masharti ya ujazaji fomu kuwachanganya wagombea. Nakumbuka kesi ya Sambwee Shitambala
Mbona mwanzo walipeleka fomu 4? Akilii yote imeelekezwa kwemye mafuriko,haya umepewa fomu 40 unarudisha 6.tutaonaKimsingi hua wanapewa fomu zote 40 kwa ajili ya kukusanya wadhamini lakini fomu 6 tuu ndizo zinakua na haja sana NEC ingawaje hata ukipeleka zote 40 wanapokea
Nafikiri Sambwe si mfano mzuri kwa sababu inaonekana alifanya makusudi. Sheria inasema unaapa kwa hakimu, wewe unaenda kwa wakili n ukiwa mwanasheria?Mkuu, hiyo hoja hata mimi imenichanganya. Ina maana NEC walifanya makosa kumpatia fomu pungufu ama kuna fomu ambazo hakutimiza masharti yake? Tatizo ninaloliona mimi kwa miaka mingi ni masharti ya ujazaji fomu kuwachanganya wagombea. Nakumbuka kesi ya Sambwee Shitambala
hilo la ukwepaji kodi ndio mtego ila tusubiri mpaka oktoba 25 safari ni ndefu
Wakuu angalieni lisijekuwa ndo bao la mkono lenyewe hilo!! Wakizingua tunahamishia kura zetu kwa Mwigamba (ha ha ha ha haaaaaaa!!)
Kimsingi hua wanapewa fomu zote 40 kwa ajili ya kukusanya wadhamini lakini fomu 6 tuu ndizo zinakua na haja sana NEC ingawaje hata ukipeleka zote 40 wanapokea
Petro E. Mselewa umeshajibiwa huku mkuu, shida una nyuzi nyiingi kweli hadi unasahau kutembelea nyingine
Mimi sijuhi sheria lakini ushahidi wa mazingira unaonesha kuwa Lowassa yupo sahihi...
Wanasheria wake walimwambia apeleke fomu nne kwa mujibu wa sheria..... Kule mahakama kuu wakashauri waongeze zingine mbili zikawa sita.
Sidhani kama huu ni wakati wa kuruhusu mapungufu kama hayo...
Bw. Petro kuwa na amani..!!