Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Maajabu ni kuwa hadi wanaChauma waandamizi wenyewe wameonekana wakigombea fomu za CCM.
Mfano hai ni Esther Matiko.
Mfano hai ni Esther Matiko.
😂😂😂 wananchi wa jimbo gani watathubutu kupiga hata kura tatu upande wako! Hapo ni kwamba hakutokuwa na majobless wa kujuunga mkono kama hawa wa Jf.
Sina na sija wahi kuwa na mpango wa kuwa zuzu😂😂😂 wananchi wa jimbo gani watathubutu kupiga hata kura tatu upande wako! Hapo ni kwamba hakutokuwa na majobless wa kujuunga mkono kama hawa wa Jf.
Watuambie kwanza Mzee Rungwe yupo wapiWakuu
Sasa mshindwe nyinyi tu. CHAUMMA imetangaza rasmi kufungua dirisha la uchukuaji wa fomu za ubunge na udiwani kuanza hapo kesho Julai 1, 2025 huku gharama ikiwa ni Sh. 50,000 kwa ubunge.
Ubunge viti maalum - Sh. 50,000
udiwani viti maalum - Sh. 10,000
Ujumbe wa baraza la wawikilishi - Sh. 50,000
Udiwani Zanzibra - Sh. 10,000
View attachment 3389205