Ni kweli lakini wataalamu wa afya wanasema kwamba mtu asiyeweka vinyongo moyoni he or she is likely to be more helthier an gain a longer life span than muweka vinyongo na mpanga visasi,so we have to struggle to do it no way out.Asante Blue G kwa mchango wako...
Nimependa kusamehe na kusahau..wengi hapa panatushinda sana..
Ni kweli lakini wataalamu wa afya wanasema kwamba mtu asiyeweka vinyongo moyoni he or she is likely to be more helthier an gain a longer life span than muweka vinyongo na mpanga visasi,so we have to struggle to do it no way out.
Ukisahau utajifunzaje kutokana na ma/kosa uliyoyafanya?Ni kweli mkuu naomba niongezee na haya machache:
Forgive and forget.
Think positive towards other.
Help others whenenever you get a chance.
Yeahhhh that's the point.Kikubwa ni kuwa na moyo wa kusahau na kuanza upya...inarudi kule kule kwenye FACTS...hasa ile F..Forget the past....
Ukisahau utajifunzaje kutokana na ma/kosa uliyoyafanya?
Forgive and don't keep grudges
Kuforget hapo maanake usimwekee kinyongo mtu aliyekufanyia makosa,kama umeamua kumsamehe msamehe kweli ila kuwa makini na tahadhari ili makosa yasijirudie.
Ni vigumu kusahau yaliyopita.
Ni rahisi kusema lakini..
Hiyo inategemea "How deep" hicho kitu ambacho unataka kusahau.
Mengine yote nakubaliana nawe.
pach nimeijibu hii post yako kwenye #15 hapo juu!Ni kweli usemayo afrodenzi kuwa inakuwa ngumu sana kusema tu kuwa nimesamehe na kusahau.
Nakubaliana na wewe kuwa kimsingi kila jeraha lina kovu lake na kwango cha ku'heal' kutoka jeraha moja na jingine vinapishana..lakini mara nyingi cha kujiuliza huwa ni 'je mpaka lini nitakaa na hili jambo rohoni'?..ndiyo maana hapo juu kama umemsoma snowhite kasema mara nyingine 'no matter how deep' tumekuwa hurt lazima tu tufikie point tusamehe yaliyopita....................
Ni kweli na nakuunga mkono na SnowBall kuwa grudges ndio neno bora kuliko kuforget.Kusahau kwaeza kutokeza kosa jinine kama hilo lamwanzo.Bila ufafanuzi huu Blue G, wengine wataelewa ku-forget maana yake ni kusahau; ambayo yaweza kuwa ujinga au umbumbumbu.
Unatendwa leo, unasamehe na unasahau, kesho unasahau na kesho kutwa pia.
1.ijue amani ya moyo wako,iishi
2.kubali kuwa si nyakati zote utafanya yatakayoridhisha watu wote,kuna wakati wa kujiridhisha wewe!
3.umeanguka jana,simama sasa,itumainie kesho ,furahia leo
Ni kweli usemayo afrodenzi kuwa inakuwa ngumu sana kusema tu kuwa nimesamehe na kusahau.
Nakubaliana na wewe kuwa kimsingi kila jeraha lina kovu lake na kwango cha ku'heal' kutoka jeraha moja na jingine vinapishana..lakini mara nyingi cha kujiuliza huwa ni 'je mpaka lini nitakaa na hili jambo rohoni'?..ndiyo maana hapo juu kama umemsoma snowhite kasema mara nyingine 'no matter how deep' tumekuwa hurt lazima tu tufikie point tusamehe yaliyopita....................