Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,140
Ni wapi hapo?
sio gereji kweli!?? Au car wash!??
Kuna atakayekuja kuuliza ni bara bara ipi kwi kwi kwii
Kiwandani Seattle (Boeing) ndio maana hazina injini!!!
Mbona hazina matairi?
sio gereji kweli!?? Au car wash!??
Umejuaje hazina engine...
Duh ndo umenifanya niangalie kumbe kweli...au hizi zinapaa hapo hapo!???
Kuna watu tunaugua JF Syndrome, huu ni ugonjwa ambao mwathirika hutamani kuwa JF muda wote!haya maswali na majibu ya humu yameni affect sana
ni barabara ipi hiyo mkuu Safari_ni_Safari ?