Foleni ya magari

Patriotic original

New Member
Mar 21, 2012
1
0
[h=5]utafiti uliofanyika ujerumani na shirika moja la ustawi wa jamii na haki za kijamii unaonyesha kuwa (90%) ya watu wakiwa kwenye foleni ya magari barabarani nyakati za kurudi kazini, huwazia jinsi gani wanachelewa kwenda kufanya mapenzi, (5%) chakula, (2%)kulala na (3%)mengineyo.wewe je huwazia nn??[/h]
 
Mi nawazia kama ntawahi Guinness za baridi na kuwazia ni nani atakayebahatika kunihudumia kati ya Joyce, Lulu, Eva na Kulthumu.
 
kila siku mawazo yanatofautiana,

siku nikiwa na appointment nawazia hiyo hiyo jinsi nitakavyonyoosha got,
nikiwa nimepigwa mzinga nakuwa naumia moyo ninavyitapanya pesa zangu, 200,000= mifuko 13 ya cement, banda langu si lingeisha?
 
Mabreka umenichekeaha saa eti mifuko 10 ya cement banda langu lingekuwa mbali.

Hongera sana.
 
Last edited by a moderator:
kama sijapata kiti, nimesimama, mie huwa nawaza janamume gani litanitaimu kwenye daladala linizalilishe, naogopa.

Foleni nzima mie huwa na-monitor wanamme walionizunguka, asijishike mfukoni labda anatoa nauli namtumbulia macho.

Ila kama nimekaa, kwatuu na jf.
 
kila siku mawazo yanatofautiana,

siku nikiwa na appointment nawazia hiyo hiyo jinsi nitakavyonyoosha got,
nikiwa nimepigwa mzinga nakuwa naumia moyo ninavyitapanya pesa zangu, 200,000= mifuko 13 ya cement, banda langu si lingeisha?

Sasa cha ajabu zaidi hata ukiacha kutapanya hizo 200,000/= hutanunua cement wala kuipata tena hiyo hela .
 
Hahahaha lol huu utafiti balaa........... Mie foleni huwa ni story tu na ma-workmate! Siku nikiwa kwa daladala nawaza jinsi ninavyochelewa kusakata kabumbu na mwanangu!! ndio zoezi langu la kila siku ukifika tu unapokewa mkoba unaotupiwa kwenye sofa kisha unaambiwa mamii kaa kwa huko (yaani mlangoni) kisha anaanza kurusha mpira!
 
mimi love this!
 
Back
Top Bottom