Leo 12.3.26 yaani muda huu saa moja asubuhu, niko hapa Miembe 7 hakuna gari linalokwenda au kurudi.
Sereikali mko wapi?
Nasikia mneongeza tozo huko bandarini, mnafikiri mkiboresha bandari kwa barabara hii mtakua mmefanya kitu?
Wako wapi mawaziri wenye maono na maamuzi?
Wako wapi wakuu wa Tanroads wenye akili?