Foleni ya kimara kulikoni?

Bonny

JF-Expert Member
Feb 21, 2013
13,371
29,944
Jaman wadau mnaoishi kimara hii folen ya Leo kuna nin huko maana toka y
Ubungo Maji folen imekamata mpka hapa mataa ya bucha kwa mlio huko mbele mtujuze nin shida
 
Mkuu kwani wewe ni mara yako ya kwanza kupita njia hiyo? We ni dereva wa lori? Km si wa lori mwendokasi zilisha anza mkuu km unakomaa na gari yako komaa tu mkuu maana haina namna
 
Mkuu kwani wewe ni mara yako ya kwanza kupita njia hiyo? We ni dereva wa lori? Km si wa lori mwendokasi zilisha anza mkuu km unakomaa na gari yako komaa tu mkuu maana haina namna
Ni njia yangu ya kila siku ila Leo ilikua zaid ila nligundua kulikua na Noah pale korogwe iliharbika ndio ilileta shida
 
Back
Top Bottom