Foleni Ubungo

Foleni Ubungo

"Foleni isiyo ya kawaida" hii inaonyesha ni jinsi gani foleni ilivyokuwa ni kitu cha kawaida Dar.
 
Acheni kuropoka kama mahayawani! Uchovu wa foleni umemfanya akosee,
Foleni ya leo ubungo sijapata kuona.
 
Pia kumekuwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Mzinga. Haijulikani chanzo chake.

Nilinasa hapo kuanzia saa moja hadi nne usiku
 
Toka waondoe taa pale ubongo hiyo foleni ni kawaida hasa siku kama leo na jmosi
 
Pia kumekuwa na foleni kubwa kuanzia Mbagala hadi Mzinga. Haijulikani chanzo chake.

Nilinasa hapo kuanzia saa moja hadi nne usiku

Pole mkuu Paw basi wenzio tukajiachiia manake hatukusikia harakati zako kimbe foleni
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
umesema kitu cha musingi kwa kweli wasipotafuta suruhisho taifa linapata hasara kila kukicha, lakini tatizo la foleni hata dar haliwezi kuisha kwani viongozi wetu wakati wanapita hupita kwa vingora.......
 
Wakuu michepuko ndio dili njia huko kunaforeni,kesho nifateni mimi niwaonyeshe michepuko mapema unaingia home,unatoka 12 unaingia suka 1:30 saafi.
 
Back
Top Bottom