Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Nimeshadandia daladala na utafiti hapa...
wapo nane tugawaneni wadau
Wakwangu tayari ninao ndani
Hii foleni aisee inaweza sababisha hata ajali khaaaa
Mr Rocky......kwani huujui ugonjwa wa mfadhaiko....usiombe kuugua ugonjwa huo ni mbaya sana.......
Mr Rocky......kwani huujui ugonjwa wa mfadhaiko....usiombe kuugua ugonjwa huo ni mbaya sana.......