Foleni kwa babu

NNYAMBALA

Member
Mar 3, 2011
85
12
Nasikia kuna foleni ya magari kwenda kwa Babu lakini nasikia pia kuna Watu wanaenda na Helikopta, naomba kujua kama kuna foleni ya helikopta?
 
mmmh,mimi mama angu ameenda huko,ila network hakuna kwani najaribu sana kumpigia simu,simpati.ila sifikirii kama kutakuwa na foleni ya helikopta.kwani wenye uwezo wa helikopta ni wachache.ila nasikia masharti ya dawa lazima upange foleni,sasa ukienda na helikopta nahisi unakuwa wa mbele zaidi.bila foleni,dawa haifanyi kazi
 
Kukosa kazi nako saa nyingine ni kubaya sana hili nalo ni swali la kuuliza eti foleni ya helikopta watu wengine bana sijui mkoje
 
Watu wengine bana! Ili mradi mtu aonekane ameanzisha thread. Kwani ukisoma tu za wenzio kuna ubaya gani? Afu ukirushiwa madongo utaanza kulialia. Mara ooh wameniona mgeni, mara ooh wananibagua kwa kuwa nna jina la kinyakyusa, mara sijui nini...sijui nini...
 
Haya, mi nikisema, hizi habari zinapumbaza akili za watu, mnakataa bureeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
 
Watu wengine bana! Ili mradi mtu aonekane ameanzisha thread. Kwani ukisoma tu za wenzio kuna ubaya gani? Afu ukirushiwa madongo utaanza kulialia. Mara ooh wameniona mgeni, mara ooh wananibagua kwa kuwa nna jina la kinyakyusa, mara sijui nini...sijui nini...

Hawaelewi maana ya kuanzisha thread upupu tu kamwaga hapa
 
apa ofisini kwetu huwezi amini watu wanapanga ili waende kikosi, kuanzia bosi hadi mfagiaji wanataka waende kikundi....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom