maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,144
Wakuu kwa mda wa masaa matatu sasa foleni ya kimara kwenda mbezi haiendi.. Jam hii si ya kawaida na inaonekana hata wenzetu wanausalama hawasaidii... Toka saa mbili mpaka mda huu saa tano hakuna ufumbuzi. Kama unapita njia hii nakushauri tafuta njia mbadala..ni mateso hasa.