Foleni Dar es Salaam

Aibu! Hii ni njia ya kimataifa kwenda airport. Kwa nini tunafanya hivyo?
 
taa ni nzuri kwa idadi fulani ya gari, ila gari zikiwa nyingi na upande mmoja ukiwa na gari nyingi zaidi taa hazifai.
 
Dar es salaam wengi ni "waendesha magari" sio madereva, wengi hawaheshimu taa, ni tatizo
 
Aisee heri mataa mara mia kuliko akili za hao watu!
 
mkuu usikubali kuwekwa aisee

hiyo lugha pemba kali sana
 
nishakaa zaidi ya lisaa na hatua niliyoenda ni kutoka dstv hadi hq ya kbc mkabala na shivacom ,na hii ni njia kubwa pekee ya gari zinazoingia mjini,al hassan mwinyi road,sasa sijui hawa traffic wanaruhusu gari za kutoka upande gani,au gari zimejaa mjini kiasi kwamba wanasubiri zipungue hili wengine tuingie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…