Bila kulenga udhalilishaji tupashane yaliyopo na yanayojiri kwa mtoto wa Afrika kwa njia ya picha
Naanza na hawa wachache, wakati unawaza matarajio ya mwanao malezi utakayompa ukumbuke uwepo wa hawa wenzake atakaokutana nao ama ukubwani maishani au utotoni shuleni.