Mkuu kama hujawahi kuziona za wenzetu unaweza hata kugoogle tu utaona jinsi barabara zilivyopishana angani.
Yàni hata pale njia panda ya kuelekea kwenye daraja la kigamboni pamejengwa vizuri kuliko haya matuta ya mfugale na ubungo..tatizo kubwa anaetoa maamuzi hua hasafiri hivyo exposure ni 0Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka Kama nyoka? Mie nilidhani daraja la mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena. Waende Basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Kuwazidi kabisaKwani lazima tufanane mkuu?
Kana kane ni kamo
Ulitaka wajenge vipi???? Usilazimishe kupaa wakati uwezo wako ni kutambaa.Hivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka Kama nyoka? Mie nilidhani daraja la mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena. Waende Basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Lete picha hata sisi wa kakonko tuoneUlitaka wajenge vipi???? Usilazimishe kupaa wakati uwezo wako ni kutambaa.
🏃♂️🏃♂️
hivi si tangia kaingia madarakani si kaenda kigali tu hayo mambo ya kwa ramafosa atayajuajeHivi ndio kusema hawa viongozi wetu wanapotembelea nchi za wenzetu huwa hawapiti barabarani na kuziona hizo flyover za wenzetu zilivyozunguka Kama nyoka? Mie nilidhani daraja la mfugale walilijenga hivyo kutokana na ufinyu wa nafasi lakini nashangaa hadi interchange ya Ubungo nayo inajengwa kishamba tena. Waende Basi hata hapo South Africa wakaone jinsi mizunguko ya flyover ilivyozungushwa.
Hii imekaa poa japo sio sana maana kwa hapo juu ingeleta jam. Mzunguko murua hautakiwi kuwa na njiapanda, yaani ukikanyaga flayover unazunguka na kwenda kutokomea uelekeo unaoutaka bila kukutana na gari yoyote, na ukikosea tu lane yako unajikuta umetokezea Mwenge wakati ulikuwa unaenda Buguruni.kuna taharifa kwamba hii kitu ilibadilishwa kimyakimya ..ilitakiwa kuwa hivi
Ni kweli kabisa, maana nikiangalia hii picha ni tofauti kabisa na kinachojengwa palekuna taharifa kwamba hii kitu ilibadilishwa kimyakimya ..ilitakiwa kuwa hivi
hivi si tangia kaingia madarakani si kaenda kigali tu hayo mambo ya kwa ramafosa atayajuaje
Sent using Jamii Forums mobile app
kwel hii ilikua nzuri kuliko hiyo wanayojengaHii imekaa poa japo sio sana maana kwa hapo juu ingeleta jam. Mzunguko murua hautakiwi kuwa na njiapanda, yaani ukikanyaga flayover unazunguka na kwenda kutokomea uelekeo unaoutaka bila kukutana na gari yoyote, na ukikosea tu lane yako unajikuta umetokezea Mwenge wakati ulikuwa unaenda Buguruni.