Flying snakes

Flying snakes

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211

<!--iOS/android/handheld specific -->
Flying snakes (chrysopelea) exist. You should probably run.

​
<!-- NEWSROOM SCRIPT --><!-- END NEWSROOM SCRIPT --><!--[if lt IE 9]> <script src="http://html5shim.googlecode.com/svn/trunk/html5.js"></script> <![endif]--><!--start fonts--><!--end fonts--><!--start slider--><!--end slider--><!--Theme by MyThemeShop.com--><!-- All in One SEO Pack 2.1.5 by Michael Torbert of Semper Fi Web Design[247,355] --><!-- /all in one seo pack -->
 
Hawa nyoka huwa ni hatari sana baadhi ya watu husema wanaweza kuuwa kijiji kizima maana ukiwa unatembea anakugonga utosini unaanguka chini nae anaendelea kwa mwingine.

Ila nimewahi sikia watu wakisema namna ya kumuuwa huyo nyoka ni kupika uji mwingi na mzito uchemke sana halafu uwe kwenye sufuria kubwa unabeba kichwani halafu unakwenda nalo maeneo ya miti anayoishi sasa akikuona ni lazima aje akugonge utosini akijaribu kichwa chake kinazama kwenye uji wa moto.
 
Mkuu mleta mada vp ni nchi gani wapo kwa wingi maana naona kama minara ila huko kazi wanayo na hao nyoka
 
Hawa nyoka huwa ni hatari sana baadhi ya watu husema wanaweza kuuwa kijiji kizima maana ukiwa unatembea anakugonga utosini unaanguka chini nae anaendelea kwa mwingine.

Ila nimewahi sikia watu wakisema namna ya kumuuwa huyo nyoka ni kupika uji mwingi na mzito uchemke sana halafu uwe kwenye sufuria kubwa unabeba kichwani halafu unakwenda nalo maeneo ya miti anayoishi sasa akikuona ni lazima aje akugonge utosini akijaribu kichwa chake kinazama kwenye uji wa moto.
Uji wa moto si utakuunguza mdau?
 
Ni nani mwenye huo ujasiri wa kubeba uji huo? manake hofu ni kwamba anaweza kukosea au kukwepa na kugonga sehemu nyingine katika mwili
 
[QUOTE=theki;9349040]Uji wa moto si utakuunguza mdau?[/QUOTE]

Mkuu uji wa moto kwa mujibu wa Mzee aliyekuwa anasimulia hayo ni lazima ubebe sufuria na kata tuseme kitu kitakachokukinga usiungeze kichwa
 
Ni nani mwenye huo ujasiri wa kubeba uji huo? manake hofu ni kwamba anaweza kukosea au kukwepa na kugonga sehemu nyingine katika mwili

Kwasasa na maisha haya ni vigumu sana maana hata hapa TZ baadhi ya Mikoa walikuwepo hawa nyoka na enzi hizo namna ya kuwauwa ilikuwa ni lazima mbinu kali kama hizo.
 
Paka na Nyoka, ni maadui wakubwa sana kwangu
 
Hawa nyoka huwa ni hatari sana baadhi ya watu husema wanaweza kuuwa kijiji kizima maana ukiwa unatembea anakugonga utosini unaanguka chini nae anaendelea kwa mwingine.

Ila nimewahi sikia watu wakisema namna ya kumuuwa huyo nyoka ni kupika uji mwingi na mzito uchemke sana halafu uwe kwenye sufuria kubwa unabeba kichwani halafu unakwenda nalo maeneo ya miti anayoishi sasa akikuona ni lazima aje akugonge utosini akijaribu kichwa chake kinazama kwenye uji wa moto.

si kweli kwamba wanaweza kupaa kama ndege, lahasha. wanachofanya ni gliding through air kwa umbali flani, by flatening their bodies na kuwa bapa. they only travel btn a high point to a low point, kwa kutumia nguvu ya momentum wanapojirusha. kuhusu kugonga kijiji kizima, its not practical but a myth.
 
Back
Top Bottom