Fly540 Wanarusha ndege tena bila Aircondition

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreatThinkers,
Nia yangu ni nzuri na hii kampuni ila hii tabia yao si nzuri hata kidogo.
Nilitoa lalamiko kama hili waliturusha bila uwepo wa Life jackets
Sasa jana tena hali hii niliyoishudia january abiria tunakosa hewa kabisa, hali hii n hatari.
Ninaamini wapo survivors wa hili tatizo hata humu JF.

FLY540 kwa nini mnatutesa abiria wenu??????????
 
Yamekuwa hayo tena? mbona watu humu humu JF walikuwa wakiisifia sana 540 na kuinanga Precision air? Mgema akisifiwa? Tuipenda Precision Air, Proudly Tanzanian!
 
Kesho tutamtafuta General Manager wao tumueleze hii kero!Spencer,unaweza kukumbuka Registration ya hiyo ndege?Route?
 
Kesho tutamtafuta General Manager wao tumueleze hii kero!Spencer,unaweza kukumbuka Registration ya hiyo ndege?Route?
They know it A-Z, naweza kutoa details labda kwa kuanzia ni ile ndege ambayo wahudumu wake wote walikuwa wanaume siku zote tajwa.
 
greatthinkers,
nia yangu ni nzuri na hii kampuni ila hii tabia yao si nzuri hata kidogo.
Nilitoa lalamiko kama hili waliturusha bila uwepo wa life jackets
sasa jana tena hali hii niliyoishudia january abiria tunakosa hewa kabisa, hali hii n hatari.
Ninaamini wapo survivors wa hili tatizo hata humu jf.

Fly540 kwa nini mnatutesa abiria wenu??????????

kumbe ulishaumwa na nyuki mkuu nilijua utorudi tena kama ulivyoandika sikujua ndio ndege pekee inayfika kwako mkuu anyway hilo linatokea hata kwenye emirates mkuu unakuta mfumo mzima wa hali ya hewa auko sawa kama ukiwa juu inabidi mh pilot arudi chini kidogokwenye low altitude..sasa kama mliendelea hivyo mpaka mwanza naamini mngekuwa ammejipanga pale uwanja wa taifa huku watu wakiwasanifu ndani ya majeneza

naamini wahusika wamepata ujumbe
 
kesho tutamtafuta general manager wao tumueleze hii kero!spencer,unaweza kukumbuka registration ya hiyo ndege?route?

ushaambiwa wanayoruka wanaume tu nini tena kamwambie bosi ile ndege ya miduem mitupu ndio ya matatizo wanaijua tu
 
Aliyesema inakwenda Mwanza ni nani?
Ila kama pia Mwanza huenda labda wewe ni mdau na unajua ila mimimara zote huwa naconnect,muda wangu wa kutua anga la afrika mashariki hushabihiana na na uwepo wa fly540.
Nimesafiri mara kibao na hiyo Precision na wao kwa kugandisha watu airport wamejaliwa, kuna siku niliganda Mwanza sitasahau toka saamoja tuliondoka saa saba.
Kuna siku nimegandishwa Dar na baadaye tunaambiwa ndege imekuwa cancelled.
Kwa hiyo ninaexperienceya mashirika haya ndomaana minawashauri maana hakunaoption nyingine
 
kuna katetesi nimesikia abt 540 kwamba ni ya mamvi,kutokana na izo namba kialfabeti,kwamba 5=E,4=D,0=O. . . .yaani EDO . . .je kuna kaukweli chochote?. . . .nawasilisha
 
kuna katetesi nimesikia abt 540 kwamba ni ya mamvi,kutokana na izo namba kialfabeti,kwamba 5=E,4=D,0=O. . . .yaani EDO . . .je kuna kaukweli chochote?. . . .nawasilisha

Hayo tena?
Richmond-Richard Monduli
D(owa)ns-L(owa)s
Leo hii tena 540 nayo EDO!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom