Fly-overs zinakuja Dar !!

Kuweni na Imani na serikali inayoongozwa na chama chenu, hatubabaishi kama wapinzani wetu. Mambo mazuri hayataki haraka. Tuongezeeni miaka mingine mitano tu, muone kazi. Mungu awabariki sana kwa kufunuliwa hayo.
 
Kwa hakika tutafikia hali hii. Miaka 250 ijayo. Nani anabisha?

Mimi nabisha.
Hizi fly-overs hazigharimu sana kama viongozi wetu wanavyotaka kuamini.
Mnakumbuka swla la kujenga barabara za lami, viongozi wetu walituhadaa na kufanya tuamini kuwa kilomita moja inagharimu Tzs. billioni moja. Baadaye Mwakyembe alivyiongia wizarani akasema kilomita moja inagharimu Tzs. millioni 700 tu.
Hivyo, viongozi wanatuaminisha kuwa hizi fly-overs ni gharama sana, ila sio hivyo.
Ukienda South Africa utaona hizo fly-over kibao. Na Tanzania ni tajiri sana wa mali asili (mafuta, gas, dhahabu, tanzanite, national parks, ardhi nzuri kwa kilimo, mito mingi kwa ajili ya umwagiliaji na kufua nguvu za umeme, nk.) kuliko South Africa.
 

Hapo pekundu ndio issue nzima. Bila ubora katika uongozi inabidi tuendelee kuota.
 
hizi ndoto za asubuhi huwa zina matatizo sana

Sio ndoto, inawezekana hapa Tanzania.
Tanzania ina utajiri mkubwa sana kuliko South Africa ambapo wamejenga fly-overs za ukweli.
Sisi tunaweza zaidi yao.
Hebu check hizi fly-overs za south africa ...

 
Johanesburg... Angalia jinsi fly-overs zilivyojengwa, na pia jinsi nyumba zilivyojengwa kwa umakini na mpangilio..

 
Barabara hizi zinawezekana Tanzania .... Tunao utajiri wa kufanya hivi...

 
Barabara zenye nia kumi !! Yaani, njia tano kila upande.!!

 
Hapa ni Port Elizabeth, South Africa.

Hii inaweza kuwa Lindi au Mtwara (kutokana na utajiri wa mafuta na gesi uliyoko huko Lindi na Mtwara) !!!

 
Bora tubaki na hizihizi tulizo nazo,hawa madereva wetu wala ndumu na wanywa gongo si watatuchinja kila uchao..??
 
tukiacha siasa na kumwacha magufuri afanye kazi yake inawezekana,lakini tukileta siasa ya chama kukosa kura kwa kuwabomolea wananchi na kuwaonea huruma hatuwezi kufika
ona sasa watu hawatumii tena bandari ya DSM kwa sababu ya wizi wetu,je ni sh ngapi tunazipoteza?
 
Hapa ni Port Elizabeth, South Africa.

Hii inaweza kuwa Lindi au Mtwara (kutokana na utajiri wa mafuta na gesi uliyoko huko Lindi na Mtwara) !!!


kila jambo linawezekana kama tutaamuwa iwe hivyo,lakini kama tutaona ni vyema kuiba mafuta kupitia baharini kwa kutupa mapima baharini ili wachache wafaidi hatuwezi fika popote pale
 
Tutabaki tunakula kwa macho tu...ufisadi umezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…