Fly over TAZARA badilisheni muda wa mataa

sishangai huu uzi , nijuavyo mimi ufipa hawataki barabara wala maendeleo yoyote wanachotaka wao ni milo mitatu na amani kwanza ....

barabara, ndege na sgr vitawanufaisha watu wanaovitaka ukiona wewe havikunaifaishi maana yake havijawekwa kwa ajili yako
 
Jamani tuwe na positive mind kwa manufaa ya maendeleo ya nchi. Mwenzako amechangia kutoa mapendekezo kwa tatizo aliloliona. Hii ndiyo inahitajika na si kulalamika tu. Wewe unakuja na habari ya akili ndogo ya watendaji. Wewe mwenye akili kubwa toa pendekezo lako tulipime.
Sasa mkuu utafanyaje mabadiliko makubwa kama hayo ya barabara halafu uache taa jinsi zilivyokuwa kabka ya mabadiliko? Kama siyo akili ndogo ni nini? Hayo ni mambo madogo ambayo nilitegemea hata kwenye feasibility study zingeahinishwa kabla ya ujenzi kuanza
 
Hbr wadau, Jana (jumapili)nimepita kwenye junction flyover ya Tazara nikitokea ubungo to Mbagala via Mandela road baada ya kusikia fly over imeeanza nikajua mambo mpeto, maana huwa natumia morogoro road na kilwa road siku zote kukwepa foleni. Sasa nilichostaajabu bado niliganda buguruni sheli na pia baada ya buguruni sheli pia tukaganda kusubiri mataa maana mnyororo bado mrefu na timing za mataa ni zilezile za kabla fly over.
Mapendekezo yangu.
Wahusika wabadili timing za Mataa; kama ifuatavyo.
1. Mandela road- Mandela road iwe sekunde 120 (dk mbili) kama pale junction ya kamata gari zinazotoka posta ...
2. NYERERE ROAD - NYERERE/MANDELA( Sec 30) gari nyingi zipo fly overs ni chache tu zitazokatiza kwenda Temeke
3. Waruhusu pia zinazotoka NYERERE ROAD (TBC)TO MANDELA ( KUPINDA KULIA) SEC 30
4. MATAA YA MANDELA TO MANDELA YAWE YANURUHUSU GARI SAMBAMBA IE YANAYOTOKA FROM NORTH-SOUTH NA SOUTH -NORTH KAMA YALE YA CHANGOMBE.
5. mabadiliko haya ili yafanye kazi ipasavyo pia Timing ya mataa ya BUGURUNI SHELI YASETIWE UPYA.
6. Kwa mabadiliko haya Fly over itakuwa na msaada sana, bila haya mabadiliko Mandela road bado itakuwa ni mateso sana.
HEBU JIFANYE KAMA UMESHARIDHIKA UMEFURAHIA MABADILIKO HAPO TAZARA.. NJOO NA VOGUE YAKO UKITOKEA MANDELA RD WEKA SPEED 120 TU UKIFIKA JUNCTION TAZARA USISIMAME UNGANISHA TU EULEKEE BUGURUNI UKIWA MAWAZO UKO KWENYE FLYOVER HALAFU UTANIJUZA KITAKACHOTOKEA...me nipo siti ya mbele nasubiria mrejesho😎😀😀
#joke
 
Mie nilisha sema humu flyover TAZARA wakati Buguruni kuna makutano ya barabara haitasaidia. Mfano Ubungo pale mradi ukikamilika subiri uone foleni za kwenda Mwenge, Buguruni na Magomeni.
Flyover ni nzuri kwa kupendezesha jiji tu.
Ile ya ubungo km itafuatwa michoro jinsi ilivyo kua planning ya interchange road hakuna gari itakaoyo simama kumsubiri nyingine,ii.ya Tazara inahitaji ring road ya kuuanganisha nyerere road n Mandela road ili gari za directly position ziciingiliane n gari zinazo change direction( kupinda kulia au kushotp
 
Upo sahihi lakini kwa ubungo itakuwa easy wakati wa kutoka mjini tu. Lakini wakati wa kuingia gari zitaingia kawaida ila zikitoka hapo hiyo foleni yake itakuwa balaa.
 
HEBU JIFANYE KAMA UMESHARIDHIKA UMEFURAHIA MABADILIKO HAPO TAZARA.. NJOO NA VOGUE YAKO UKITOKEA MANDELA RD WEKA SPEED 120 TU UKIFIKA JUNCTION TAZARA USISIMAME UNGANISHA TU EULEKEE BUGURUNI UKIWA MAWAZO UKO KWENYE FLYOVER HALAFU UTANIJUZA KITAKACHOTOKEA...me nipo siti ya mbele nasubiria mrejesho😎😀😀
#joke
umeshupaa kuifanya fly over iwe white elephant..itakua huishi ukonga minazi mirefu,airport,gomzi
 
Hbr wadau, Jana (jumapili)nimepita kwenye junction flyover ya Tazara nikitokea ubungo to Mbagala via Mandela road baada ya kusikia fly over imeeanza nikajua mambo mpeto, maana huwa natumia morogoro road na kilwa road siku zote kukwepa foleni. Sasa nilichostaajabu bado niliganda buguruni sheli na pia baada ya buguruni sheli pia tukaganda kusubiri mataa maana mnyororo bado mrefu na timing za mataa ni zilezile za kabla fly over.
Mapendekezo yangu.
Wahusika wabadili timing za Mataa; kama ifuatavyo.
1. Mandela road- Mandela road iwe sekunde 120 (dk mbili) kama pale junction ya kamata gari zinazotoka posta ...
2. NYERERE ROAD - NYERERE/MANDELA( Sec 30) gari nyingi zipo fly overs ni chache tu zitazokatiza kwenda Temeke
3. Waruhusu pia zinazotoka NYERERE ROAD (TBC)TO MANDELA ( KUPINDA KULIA) SEC 30
4. MATAA YA MANDELA TO MANDELA YAWE YANURUHUSU GARI SAMBAMBA IE YANAYOTOKA FROM NORTH-SOUTH NA SOUTH -NORTH KAMA YALE YA CHANGOMBE.
5. mabadiliko haya ili yafanye kazi ipasavyo pia Timing ya mataa ya BUGURUNI SHELI YASETIWE UPYA.
6. Kwa mabadiliko haya Fly over itakuwa na msaada sana, bila haya mabadiliko Mandela road bado itakuwa ni mateso sana.
Wamekusikia mkuu
 
Naomba mtu aliepita hapo leo atuambie.....kama shida waliyokuwa wanaipata kabla ya flyover iko pale pale?
 
Kusema ukweli walah folen imepungua kotekote...
Ukitoka bugurun kwenda temeke unakaa kidogo sana ushavuka na hivo hivo kutoka temeke kuja buguruni tofauti na kabla ilikua kuvuka pale hata masaa mawili yanaeza kata
 
Back
Top Bottom