alliJAY4_four
Senior Member
- May 4, 2017
- 173
- 95
labda kulikua na hitilafu kidgo but saiv inakubali kwanguUnajuwa sababu ya kuandika niliyoandika kuwa nimetaka kufanya booking Thursday wala Sunday hakuna sasa ingia katika site yao fanya booking siku hizo mbili halafu utaona majibu.