Floyd Mayweather kaongeza ndege ya pili yenye vifaa vya Dhahabu

Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
8,369
8,072
Bondia maarufu duniani, Floyd Mayweather ameingia tena kwenye headlines kwa kuongeza ndege binafsi ya pili aina ya Gulf Stream III kwa madai kuwa moja haimtoshi katika matumizi yake binafsi na amesema ameichoka.

Ndege hii yenye vifaa vilivyotengenezwa kwa Dhahabu sehemu ya ndani yenye uwezo wa kubeba abiria 12 na ina vifaa vya dhahabu sehemu tofautitofauti kama sehemu za kuwekekea glasi, sinki la kunawia mikono lililopo kwenye jiko la ndege hiyo na mapambo mengine ya dhahabu ambayo yamepamba ndani ya ndege hiyo.

Billionea huyo hakuwa tayari kutaja bei kamili ya ndege hiyo aliyoinunua lakini alisikika akisema haya….>>>> “ni kitu kizuri kuwa na pesa“
ImageUploadedByJamiiForums1466448328.244147.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466448343.517880.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466448361.632638.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466448375.430737.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466448389.099775.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466448404.473244.jpg

ImageUploadedByJamiiForums1466448417.018029.jpg


usa baby
 
It's not about the money, it's about the lifestyle

kama ni style ebu ifanye wewe! iga ufe. we unafikiri kuna mtu hapendi hata life ya kuwa na nyumba ndogo uswahili na gari dogo! kwa kuwa ni hela na wala sio style inakuwa ngumu
 
Back
Top Bottom