Floyd Mayweather Jr. vs. Manny Pacquiao - Kumaliza ubishi

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
9,872
8,894
Kwanza MOD:
Ningeomba hii post kwa muda wa siku kadhaa muiache kwenye jukwaa hili la habari mseto hata kama mtaweka pia kwenye jukwaa la michezo .
Maana kule kwenye jukwaa la michezo sio wadau wengi wanaingia.

Hembu tuanze kujuana sasa nani ni shabiki wa nani na kwasasabu ipi inampa imani kwamba Bondia wake atashinda.
 
Lakini Zanzibar Spices kuna nyuzi kama tatu hapa jamvini zinazofanana na huu wa kwako kuwahusu hawa jamaa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom