Pambano la Manny Pacquiao vs Terence Bud Crawford

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Pambano hili sitaki kuliangalia,

Sijui ni kwanini Manny Pacquiao amekubali kupambana na Terence Bud Crawford.

Pacquiao ni Bondia mwenye heshima kubwa sana kwenye Ulimwenguni wa Masumbwi,

Kwa haiba yake unaweza mlinganisha na Lionel Messi La Pulga kwenye Ulimwenguni wa Soka.

Nikiri tu kuwa ni Bondia ambaye namuhusudu sana ndani ya Ulingo na nje ya Ulingo,

Nisingependa kumuona akiendelea kupigana, Napendelea aachane na Ubondia astaafu kwa heshima kwani heshima aliyoiweka ni kubwa mno!

Anataka kuingia kupambana na Crawford
Bondia aliyekamilika, Mwenye IQ kubwa ulingoni, mwenye nguvu mikono yote, Bondia mwenye uwezo wa kupigana aina zote na kutune stances zote (Southpaw na Orthodox), Bondia mwenye njaa ya kupigana na kumaliza mapambano kwa Knockout, Bondia anayetajwa kuwa namba moja Ulimwenguni Pound for Pound, Bondia pekee mwenye uwezo wa kumpiga kirahisi Mayweather, kwa kifupi Crawford ndiye Bondia Bora wa nyakati hizi!

Namkubali Pacquiao na namkubali Crawford nisingependa kabisa kuona Pambano hili la watu ninaowakubali linatokea!

But it is what it is,
Boxing is a Business and anything can happen!

Nahisi Pacquiao atapigwa vibaya na kuchafua CV yake aliyoijenga kwa kipindi kirefu!

Screenshot_20210413-122711.jpg
 
Mabondia Mastar hukaa muda mrefu bila kupigana!

Hii ni kawaida kabisa,

Ila kwa Crawford hata kama Pacquiao angekuwa kwenye Peak asingeweza kumpiga!

Crawford ni Bondia hatari sana
 
Pambano hili sitaki kuliangalia,

Sijui ni kwanini Manny Pacquiao amekubali kupambana na Terence Bud Crawford.

Pacquiao ni Bondia mwenye heshima kubwa sana kwenye Ulimwenguni wa Masumbwi,

Kwa haiba yake unaweza mlinganisha na Lionel Messi La Pulga kwenye Ulimwenguni wa Soka.

Nikiri tu kuwa ni Bondia ambaye namuhusudu sana ndani ya Ulingo na nje ya Ulingo,

Nisingependa kumuona akiendelea kupigana, Napendelea aachane na Ubondia astaafu kwa heshima kwani heshima aliyoiweka ni kubwa mno!

Anataka kuingia kupambana na Crawford
Bondia aliyekamilika, Mwenye IQ kubwa ulingoni, mwenye nguvu mikono yote, Bondia mwenye uwezo wa kupigana aina zote na kutune stances zote (Southpaw na Orthodox), Bondia mwenye njaa ya kupigana na kumaliza mapambano kwa Knockout, Bondia anayetajwa kuwa namba moja Ulimwenguni Pound for Pound, Bondia pekee mwenye uwezo wa kumpiga kirahisi Mayweather, kwa kifupi Crawford ndiye Bondia Bora wa nyakati hizi!

Namkubali Pacquiao na namkubali Crawford nisingependa kabisa kuona Pambano hili la watu ninaowakubali linatokea!

But it is what it is,
Boxing is a Business and anything can happen!

Nahisi Pacquiao atapigwa vibaya na kuchafua CV yake aliyoijenga kwa kipindi kirefu!

View attachment 1750793
Huyu jamaa nmeangalia mapambano yake na ko zake anaonekana anacheza ngumi nzito sana,,hata Mayweather hafui dafu pale,,,Pacquiao kapotea.
 
Crawford Ni Bondia mwenye kila kitu,

Anashambulia sana na anajilinda sana, ana Chin nzuri pia ingawa Gamboa aliwahi kumpata na shot moja ya hatari lakini bado hakuanguka alijilinda Kimaajabu, ana IQ kubwa sana ya Boxing!

Pacquiao anapenda dog fights kama za Wamexico wa zamani au Shawn Porter

Ngumi za piga nikupige, ngumi ambazo si za kujilinda sana na si za Kitaalam sana!

Ngumi hizi zina athari mno endapo unakutana na Bondia mtaalam (technical Boxer) mwenye Chin!
 
Lakini mnamjua pac au mnajisemesha tu jamnai
Crawford ni Bondia mwenye kipaji kikubwa mno.

Pacq anafanya makosa mno kukubali Pambano hili

Bondia wa Australia Jeff Horn amewahi kupambana na Pac na Crawford.

Alishinda pambano dhidi ya Pac ingawa wana Masumbwi wengi wanasema ushindi wake haukuwa wa halali, wengi wanasema Pac alishinda!

Horn alipigwa kwa Technical Knockout (TKO) kwenye pambano dhidi ya Terence Crawford
 
Babu Pac kasha hamisha magoli kule aliona
ameingia chaka, ila hata uku atajitahidi kupambana lakn atakalishwa ,, astaafu .
Kwa heshima sio kwa KO
20210604_132826.jpg
 
Pambano hili sitaki kuliangalia,

Sijui ni kwanini Manny Pacquiao amekubali kupambana na Terence Bud Crawford.

Pacquiao ni Bondia mwenye heshima kubwa sana kwenye Ulimwenguni wa Masumbwi,

Kwa haiba yake unaweza mlinganisha na Lionel Messi La Pulga kwenye Ulimwenguni wa Soka.

Nikiri tu kuwa ni Bondia ambaye namuhusudu sana ndani ya Ulingo na nje ya Ulingo,

Nisingependa kumuona akiendelea kupigana, Napendelea aachane na Ubondia astaafu kwa heshima kwani heshima aliyoiweka ni kubwa mno!

Anataka kuingia kupambana na Crawford
Bondia aliyekamilika, Mwenye IQ kubwa ulingoni, mwenye nguvu mikono yote, Bondia mwenye uwezo wa kupigana aina zote na kutune stances zote (Southpaw na Orthodox), Bondia mwenye njaa ya kupigana na kumaliza mapambano kwa Knockout, Bondia anayetajwa kuwa namba moja Ulimwenguni Pound for Pound, Bondia pekee mwenye uwezo wa kumpiga kirahisi Mayweather, kwa kifupi Crawford ndiye Bondia Bora wa nyakati hizi!

Namkubali Pacquiao na namkubali Crawford nisingependa kabisa kuona Pambano hili la watu ninaowakubali linatokea!

But it is what it is,
Boxing is a Business and anything can happen!

Nahisi Pacquiao atapigwa vibaya na kuchafua CV yake aliyoijenga kwa kipindi kirefu!

View attachment 1750793

Hapo kwenye kumpiga Mayweather ndipo ulipoharibu.

Mayweather ana uwezo mkubwa wa kumfanya bondia yeyote hatari kuonekana wa kawaida mno.
 
Back
Top Bottom