KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,802
- 39,662
wabongo kamwe hawawezi kufanya hivyo kwa kuwa tuna roho ya kwanini na chuki za ajabu.....hasa kwa watanzania wenzetu........na usiombe usaidiwe mbongo....itabidi umwabudu ili asiyaweke ma file yako hadharani......wabongo nuksi sana.....usiwaone wanakuchekea tu unavyopita na kigari chako..........hivi haiwezekani kweli mtu akamfanyia taratibu francis cheka na kumhamishia marekani kisha kuwa manager wake na kupiga hela!?...watz mliopo huko hebu oneni fursa iyo!