Flora:Mumeo mumeo tu anaitaji msamaha .mengine yabaki Historia

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
54,985
27,853
Wengi mtaniunga mikono kama sio Mguu kwa hili
Epukeni sana kuingilia ndoa ya mtu kingine nikiwa kama mshauri wa ndoa za wakubwa na watoto

Nimeona wengi wakiaibika kwakusikiliza watu ama mnenoya nje

Kumbuka maneno ya Mungu Flora

NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.....

SIO MIMII HII NI BAIBO UNAYOIAMINI KAMA NI HIVYO NIMESIKILIZA SEHEMU MUMEO AKIOMBAA MSAMAHA KWA SHEMEJIYAKO

LEO NI JUMAPILI MALAIKA SI MPAKA UMWONE ANAWEZAPITIA HATA JF HM AKA HABARIMCHANGANYIKO

DADA YANGU KIPENZI USIANGALIE WATU ANGALIA WATOTOWENU ANGALIA FAMILIA YENU MPAKA SASAA MMEJICHAFUAJE???NAJUA BINADAMU TUMEUMBWA WADHAIFU

NAAMINI MZEE WANGU KULOLA ANGEAMKA NA KUKUTA HAYA SASAHIVI ANGEOMBA ARUDI MBINGUNI ALIKOTOKA

TUMKUMBUKE MZEE NA HESHIMA YAKE ..TULINDE UPENDOWAKE..MIMI SIAMINI MKONO WAMTU UMEWAPITIA NAAMINI HILI NI PEPO LIMEQAPITIA LIKAKUTA UDHAIFU WENU BOTHSIDES NOW LINASHEREKEA MATUNDAYAKE LISHINDWE KWA JINA LA YESU

NAKUSHAURI NAKUOMBA NARUDIA TENA NA TENA ANGALIA FAMILIYAKO USIANGALIE WALIONYUMAYAKO WAMASEMA NINI AMA WAMATAKA NINI YATAMYOTOKEA NAAMINI UKIWA DUNIANI UTAKUWASHAHIDI WA MAUMIVU YA MUMEO

DADAYANGU FLORA MSIKILIZE MWENZIO KAENI CHINI KAMA NILIVYOMSIKIA MUMEO ANAKUOMBA MKUTANE UTAKI MWISHO UNAMWAMBIA AJISALLIMISHE KWANZA POLICE ELSE ATAAFIA JELA

MPENDWA AMA WAPENDWA KATIKABWANA HATA MUMEO AKIFUNGWA AMA MKEO MIAKA KAADHAA IPOSIKU UTAPELEKA CHAKULA JELA

NIMEONA NA USHAHIDI WA NDOA ILIOVUNJIKA MKE AKATESEKA SANA KUPELEKA CHAKULA AKIWA NA TALAKAYAKE

MUNGU WA MBINGUNI MUNGU WA MSAMAHA DADA MKAE CHINI MUYAMALIZE
NAAMINI NI MAPITO TU NA KILA JAMBO NA WAKATIWAKE

HITIMISHO
KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKEA NAAMINI AKU MWENYE NDOA ATAKAESHAURI MUACHANE ELSE TUNAWAACHIA WENYEWE

HATA COMMENTS UMAZOONA HUMU NYINGI NI USHABIKI USISIKILIZE NA WANAOTAKA MUACHANEWENGI WANAJISAIDIA KWA BABA N MAMA AMA WAMEACHIKA

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
WOTE WENYE NDOA ZAO WALIOACHIKA NA WANAOFANYA PROCESS ZA KUACHAN
 
Waombane msamaha wasameheane,warudi kuishi kwa amani.
Lesson: hawa wachungaj sio wa kuchekea kabisa,huyu kidudumtu gwaj mwisho ataishia pabaya
 
Frola hatakuelewa mkuu,mwenzako kanogewa na dushe la Gwajima akili zote zimemluka,unayosema yanaingia sikio moja na kutokea lingine....
 
Onavyoonekana hapa Bi dada Shemeji ndio alijitongozesha kwa Mbasha. wametembea muda mrefu tuuu wamepeana mahabat kwa raha zao. binti alivyoshtukiwa na ndugu ndo kakubali aweke mtego ambao pia haukufanikiwa
 
Mbona ziko familia nyingi tu haya yanatokea na wanayamaliza wenyewe ndanii..huyu tu mwanamke ni kidudu mtu na umalaya wake....ss anaona raha mzazi mwenzie akiteseka...halafu anabakwaje mara 3 zoootee asiseme hii ya mwsho ndo aseme..?? Huu ni mchongo..flora tushakustukia...me mume wangu abake siwez kwenda polisi..cha moto atakiona humo humo ndani...labda akabakie hukooo na hao alowabaka ndo wamshtaki...ila sitoweza cz I still need his support
 
Waombane msamaha wasameheane,warudi kuishi kwa amani.
Lesson: hawa wachungaj sio wa kuchekea kabisa,huyu kidudumtu gwaj mwisho ataishia pabaya

Laana ya kuyapigia majambazi kampeni, waombeni watanzania msamaha ndoa itarudi hiyo
 
Ikiwa huna dhambi kabisa uwe wa kwanza kurusha jiwe! Tuhuma za kubaka au usaliti ninaousikia - zote ni dhambi kama zina ukweli. Dawa ya dhambi ni ungamo la kweli kwa MUNGUna kudhamiria kuacha kabisa, yaani usirudie; kisha muombane msamaha kwa kuungamina ninyi kwa ninyi. Jaribuni mtaona matokeo yake

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nami nakushauri dada flora msamehe mbasha urudi nyumbani futa huu ujinga ivi ukisha mfunga mmeo afu mtoto wako anamtaka baba yake utamwambia nilimfunga kisa alizini na mama yako mdogo. Afu ujue mbasha ni nyota yako njema katika mafanikio yenu, hana kazi lakini anajishusha anaingia kwenye maofis makubwa kutafuta ma shost maboss ili akuunganishe kwa maswala yako ya kazi ili mtoke kimaisha. Ok mimi siamini kabisa kama wewe na gwajima kuna chochote kinacho husu dhambi mana namjua gwajima ni mtumishi wa mungu kweli hivo Hayo maupambe ya walioshindwa achana nayo wewe angalia mungu anasemaje kuhusu kusamehe, wewe ndo uwapatanishe mbasha na ester aliye bakwa, sawa eee mama lake.
 
Flora kaishanogewa na swaga za kitandani na mchungaji hawez kukuelewa.
 
Kuna mambo mawili hapo, kubaka na kuhusiana na shemejie. Kama Flora alishakuwa na wasiwasi na kumtuhumu mumewe kutembea na shemeji yake, na wote wawili wakakana; hakuna kesi na Flora akae mezani na mumewe na amsikilize. Lakini hiyo hailazimishi wao kurudiana, kila mwenye ndoa anajijua na msalaba alio nao. Huwezi kujua wamevumiliana mangapi. Ila kama ni kweli hakukuwahi kutokea mtafaruku wa shemeji kuhisiwa ama kushtaki, Flora hili halimuhusu. Linamhusu aliebakwa. Mtu akikubaka anakuharibia maisha yako yote.

Jambo kuu ni moja, kama Flora hamtaki tena mumewe, na amuache aende zake. Kama anahusika kwa hata chembe ya kumtengenezea tuhuma, hajajitakasa mbele ya watu kwani Mungu wa Mbinguni atamshughulikia. Kila upandacho ndicho utakachovuna.
 
Hongera Pdidy kwa muandiko mzuri leo! Au ulikua unaongea kisha kuna mtu anakuandikia?
 
Wengi mtaniunga mikono kama sio Mguu kwa hili
Epukeni sana kuingilia ndoa ya mtu kingine nikiwa kama mshauri wa ndoa za wakubwa na watoto

Nimeona wengi wakiaibika kwakusikiliza watu ama mnenoya nje

Kumbuka maneno ya Mungu Flora

NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.....

SIO MIMII HII NI BAIBO UNAYOIAMINI KAMA NI HIVYO NIMESIKILIZA SEHEMU MUMEO AKIOMBAA MSAMAHA KWA SHEMEJIYAKO

LEO NI JUMAPILI MALAIKA SI MPAKA UMWONE ANAWEZAPITIA HATA JF HM AKA HABARIMCHANGANYIKO

DADA YANGU KIPENZI USIANGALIE WATU ANGALIA WATOTOWENU ANGALIA FAMILIA YENU MPAKA SASAA MMEJICHAFUAJE???NAJUA BINADAMU TUMEUMBWA WADHAIFU

NAAMINI MZEE WANGU KULOLA ANGEAMKA NA KUKUTA HAYA SASAHIVI ANGEOMBA ARUDI MBINGUNI ALIKOTOKA

TUMKUMBUKE MZEE NA HESHIMA YAKE ..TULINDE UPENDOWAKE..MIMI SIAMINI MKONO WAMTU UMEWAPITIA NAAMINI HILI NI PEPO LIMEQAPITIA LIKAKUTA UDHAIFU WENU BOTHSIDES NOW LINASHEREKEA MATUNDAYAKE LISHINDWE KWA JINA LA YESU

NAKUSHAURI NAKUOMBA NARUDIA TENA NA TENA ANGALIA FAMILIYAKO USIANGALIE WALIONYUMAYAKO WAMASEMA NINI AMA WAMATAKA NINI YATAMYOTOKEA NAAMINI UKIWA DUNIANI UTAKUWASHAHIDI WA MAUMIVU YA MUMEO

DADAYANGU FLORA MSIKILIZE MWENZIO KAENI CHINI KAMA NILIVYOMSIKIA MUMEO ANAKUOMBA MKUTANE UTAKI MWISHO UNAMWAMBIA AJISALLIMISHE KWANZA POLICE ELSE ATAAFIA JELA

MPENDWA AMA WAPENDWA KATIKABWANA HATA MUMEO AKIFUNGWA AMA MKEO MIAKA KAADHAA IPOSIKU UTAPELEKA CHAKULA JELA

NIMEONA NA USHAHIDI WA NDOA ILIOVUNJIKA MKE AKATESEKA SANA KUPELEKA CHAKULA AKIWA NA TALAKAYAKE

MUNGU WA MBINGUNI MUNGU WA MSAMAHA DADA MKAE CHINI MUYAMALIZE
NAAMINI NI MAPITO TU NA KILA JAMBO NA WAKATIWAKE

HITIMISHO
KILA JARIBU LINA MLANGO WA KUTOKEA NAAMINI AKU MWENYE NDOA ATAKAESHAURI MUACHANE ELSE TUNAWAACHIA WENYEWE

HATA COMMENTS UMAZOONA HUMU NYINGI NI USHABIKI USISIKILIZE NA WANAOTAKA MUACHANEWENGI WANAJISAIDIA KWA BABA N MAMA AMA WAMEACHIKA

NAWATAKIA JUMAPILI NJEMA
WOTE WENYE NDOA ZAO WALIOACHIKA NA WANAOFANYA PROCESS ZA KUACHAN

Kama kweli ni mkristu Wa kweli,basi Flora inabidi uwe na moyo Wa kusamehe,msamehe mumeo urudi nyumbani mkalee watoto wenu.Achana na hiyo shetani.Ameen
 
Mimi ninachoamini nikuwa hakuna ndoa ambayo haina majaribu ila kupitia hayo majaribu ndoa uimarika,kama hawajui waulize wenye miaka 50 ya ndoa wamepitia mambo gani,lkn pia sikila jambo linalotaka kuhatarisha ndoa liwekwe wazi kwa watu wote walijue,huo ni ujinga na kutoheshimu misingi ya ndoa.
 
Pdidy roho mtakatifu amemshukia, tangu nianze kufuatilia saga la Mbasha naona anaandika vizuri tena kwa busara sana. Back to topic, ni kweli wasameheane na kila mtu atubu kisha maisha yaendelee.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom