Nilopomuona Flora na mumewe wanaimba kukampenia CCM na Kikwete 2010 nilijua kabisa kumbe hawa sii waimbaji wa Injili bali watafutaji kama wengine wote. Kwa hiyo lazima watafanya mambo yao kama watu wasio na upako.
Mtumishi wa MUNGU wa kweli hajikuti kwenye kashfa chafu lama hizi, hata kama atajikuta kwenye majaribu lakini hayatahusiana na kumchafua maisha yake yote. Nasema maisha yote kwa sababu hata leo Mbasha family irudiane na kuishi pamoja, watu wataendelea kuwaona wazinzi na wachafu tuu ila wamesameheana.
Sent from my iPad using JamiiForums
Hahahaaaaa mume ni mission town alikua analenga kipaji cha mjukuu wa Kulola ili amtumie kupiga hela! Akajifanya kaokoka, akamuoa Flora, mwisho kaanza kutumia kipaji cha Flora kwenda kuomba misaada kwa kina Rostam, Lowassa na matajiri wengine!
Halafu eti anajitetea mi ndo nawajua mapedejee wote Flora hajui mtu lol! Njaa hizi! Funzo kwa wadada waliookoka! Si kila anayekutaka kukuoa ni malaika wa Nuru!
Wengine ni Lucifer kavaa sura ya Gabriel!
Kama ni mume mwenye akili timamu huezi kuja na utetezi eti mbona wewe unatembea na Gwajima halafu mi nimekaa kimya??????
Yaani mkeo anatembea na mwanaume mwingine we upo tuu unasubiri mafao??? No wonder alikua anamuuza mke wake ili kuganga njaa! Shame!