RR tuko pamoja. . .Lizzy, that is my opinion. If my man does it, then ananisaliti. But kuna mtu anachukulia poa tu, haoni kama ni kosa kiivo. Kwa huyo hakuna shida. So it is not an absolute truth. It is valid only between two people who have the same understanding.
Kwahiyo Konnie we hujawahi kucheat humu?Kujua kuwa kufanya hiki ni kosa hiyo ni point A
na kutofanya kosa hilo ni pont B
Furu cheating kwa kwenda mbele
Sababu ambacho unaongea na mtu mwingine, ukishindwa kumwonyesha mwenzi wako kwa hofu kuwa ataona wivu au italeta mtafaruku ni usaliti 100%
Kwahiyo Konnie we hujawahi kucheat humu?
Achana na konnie,mzushi tu huyu,full kuchiti humu.
Akufukuzaye hakwambii toka,poa tu....you spoiled my day.Nadhani kila mtu anajua namna "flirting" inavyoweza kurahisisha siku au hata maisha kwa ujumla. I'ts fun, relaxing, can turn a bad day into a good one and so so.
Swali. . .utajisikiaje kumuona mpenzi/mume/mke wako akiflirt na wanawake/wanaume wengine?! Na kwa hapa JF ambapo watu wanaflirt saaaaana tena waziwazi (I suppose ndo sababu watu wengine wanaogopa wenzi wao kufahamu ID zao humu) ukiwa unaifahamu ID ya mwenzio na ukawa unaona anavyoflirt (wanavyoitana majina matam tam ambayo wewe hajawahi kukuita) na wadada/wakaka wa humu utajisikiaje?!Vibaya/vizuri/hutojali?!
Binafsi nisingependa/furahia wala mimi nisingefanya. Ningependa tuflirt sisi kwa sisi bila kushirikisha watu wengine.
Akufukuzaye hakwambii toka,poa tu....you spoiled my day.
ungempa tu smile kwa njia hiyohiyo ya kuflirt, au??kuna mwanaume niliflit nae huku jf nimemnyima tunda....
anadai kumbe nilikuwa simpendi nilikuwa namchezea nampotezea
kwani kuflirt na mtu ni kumpenda? au sielewi jamani
Nyani Ngabu, hapo mke wake anajua hii ni ID ya mpenzi wake au hajui? Na kama anajua anachukuliaje hizo flirts? Nadhani it is all about makubaliano kati yao.Kwa mtaji huo (na ukiingiza katika mlinganyo multiple IDs) basi ni wachache sana ambao hawa-cheat humu. Manake kila siku kuna IDs mpya na kila siku watu (tena wengine wanasema wana wake na waume) wanaitana wapenzi humu. Go figure....
Kwahiyo back up ndio mpango mzima?Binafsi flirting huichukulia positively, so we do it positively.
Faida kubwa ni kuwa hata ukihitilafiana na mwenzio, unaweza vuta hisia kwake kwa kumuwaza huyo mate mwingine.
It works, try it but do not try at home.
Babu Jingaaaa hiloooo
Nshajua tatizo lako...gia box yako imekufa!!!
.siku wakijua sijui watajisikiaje, au wangekua wanafanyiwa wao waziwazi sijui wangechukulia vipi.
Nyani Ngabu, hapo mke wake anajua hii ni ID ya mpenzi wake au hajui? Na kama anajua anachukuliaje hizo flirts? Nadhani it is all about makubaliano kati yao.
I am going to kill you.
Kila siku nakumbukaga ule uzi wako wa what is the bad about me, hahaha sweet revenge!
Unless u give ur partner the taste of his own medicine labda hatokaa ajue machungu yake! Dawa ndo hiyo tu,lol!
Kisha uende segerea kisa mwanamke?
Unanchekesha (source:FF).
Hahahahaha, sasa hapo unataka kuanza name calling.Well, kwa maneno ya wengi ni kwamba wenza wao hawapo humu. Ukiwauliza wamejuaje kama wenza wao hawapo wakati watu tunatumia majina bandia - hakuna jibu la kuridhisha.
Nitoe mfano mmoja, Ashadii si ni rafiki yako? Si huwa anasema kaolewa na mumewe hayupo humu? Je, huwaga ana-flirt na Kaizer au huwaga ha-flirt naye? Na Kaizer naye si kaoa? Au Kaizer na Ashadii ni mtu na mkewe?