Flirting. . .

This post has done the thread justice
 
Kaizer Embu unikome. . .unataka uflirt na mimi kwani mie mkeo?!
Hivi AshaDii hamtoshi mpaka anamtaka Mwanamke kamili? watu kama hawa ni rahisi kushushwa mshipa. hapa nazidi kupata moyo kwamba Mwanamke kamili hana longolongo.
 
Last edited by a moderator:
Hivi AshaDii hamtoshi mpaka anamtaka Mwanamke kamili? watu kama hawa ni rahisi kushushwa mshipa. hapa nazidi kupata moyo kwamba Mwanamke kamili hana longolongo.
Matola...habari ya siku bana....naona umeanza mdogo mdogo....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hivi relatiosship/marriage ni serious kiasi hiki? sijui.......................
kwa upande wangu, kuwa kwenye relation/marriage siyo kwamba ndo unaacha kila kitu na kuangalia jinsi ya kuulinda uhusiano tu. ndo maana mahusiano mengi yanakufa.
binafsi sioni ubaya wa ku-flirt, ubaya unakuja unaposhindwa kujizuia kwenda extra mile. sioni tatizo nikimwita rafiki yangu The Boss baby, sweetie..... au nikimwambia "I love u"
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…