....hakunaga! dingriiz hiyo na ki topu, tena figa eiti ( aaa-tchooo!~ chafya)
....safari njema... 😉
amerudi RR wangu .... loh umemkuta wapi...ndo maana nakupenda sis najua wewe huwezi nidhuru...
nipo hapa dia sasa wkend vp? nipo hosptal hapa maza mgonjwa ila natoka sasa hivi
Sijawahi ku-experience ukichaa.....kila niangaliapo bluu...basi ndo hvo...
Naja tumpeleke kwanza mama home....then ijumaa ni yetu....
ahahaaa wapambe bana tuna card ya insurance bwana momentum wanaclear kila kitu..........usisahau kusawazisha na Bill ya hospital shemeji!
ahahaaa wapambe bana tuna card ya insurance bwana momentum wanaclear kila kitu
Hapo swity utakua umezidisha malovee.....:eek2::eek2:usjali my dear hakuna cha bill wala nini..... hata wewe naweza kukulipia.... hela kitu gani love hela karatasi tuuu
hata mimi Mbu nilimtosa mwaka juzi huo huo ndo maana kelele mingi....Unajua Smile my taska, huyu MwanajamiiOne nilimpotezea kwenye flirt mwaka juzi...sasa mineno haiishi...
ignore her!
Unajua Smile my taska, huyu MwanajamiiOne nilimpotezea kwenye flirt mwaka juzi...sasa mineno haiishi...
ignore her!
@ mbu nimemuona kaja na Kipipi clinic hapa nimesikia Kipipi akimwambia ni ni ya miezi mitano sijui ni nini cha miezi mitano..............Naona mmeishiwa swaga za kuflirt khaa! hebu tuacheni msitusakame loh! Sie twawafagilia nyie mwatuumbua!
Hahahaha My Soulmate Mbu hebu njoo baba tupumzike barazani!
mmmh mbona @ mbu alikuwa anadai kama ni miezi mitano si ya kwake maana miezi yeye ishapita miezi minane toka walipoonana ... sijui ni wapi ngoja niwapige chabo tena
Kumbe eeh ngoja nicheki wa kuflirt nae, tatizo thread imesogea sana hata sijui nani ana nani ila atakae jitokeza hapa nnae siangalii kama kawaiwa au la!!Hahaha Babu haya mambo ya vijana utayaweza Babu yangu?
Nway hapa ni self service jichagulie isipokuwa angalia waliokwishawahiwa usijesababisha ngumi hapa na pia waexclude wajukuu zako wasijekumwagia ugoro Babu yangu....................
teh teh mafiga matatu......Kumbe eeh ngoja nicheki wa kuflirt nae, tatizo thread imesogea sana hata sijui nani ana nani ila atakae jitokeza hapa nnae siangalii kama kawaiwa au la!!
Hommiee!Hapo swity utakua umezidisha malovee.....:eek2::eek2: