sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,237 Reaction score 8,999 Mar 10, 2023 #81 Mynd177 said: Mkuu wewe ni mtu wa kagera.?? au unafahamu kihaya?? Click to expand... Hata ukienda ukerewe pale ukitamka vile sidhani kama kuna mtu atakuelewa.
Mynd177 said: Mkuu wewe ni mtu wa kagera.?? au unafahamu kihaya?? Click to expand... Hata ukienda ukerewe pale ukitamka vile sidhani kama kuna mtu atakuelewa.
Nafaka JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 12,210 Reaction score 31,501 Mar 10, 2023 #82 jiwe angavu said: Wazazi wake wote wanyambo wa karagwe kaishe,sema wamezaliwa na kukulia shinyanga,mzee wake mpaka leo yupo shinyanga na familia yake kwa ujumla. Click to expand... Yeye kwenye mahojiano na salama alisema babake msukuma
jiwe angavu said: Wazazi wake wote wanyambo wa karagwe kaishe,sema wamezaliwa na kukulia shinyanga,mzee wake mpaka leo yupo shinyanga na familia yake kwa ujumla. Click to expand... Yeye kwenye mahojiano na salama alisema babake msukuma
Mynd177 JF-Expert Member Joined Dec 3, 2022 Posts 3,167 Reaction score 5,655 Mar 10, 2023 #83 sengobad said: Hata ukienda ukerewe pale ukitamka vile sidhani kama kuna mtu atakuelewa. Click to expand... Duuh noma sana.
sengobad said: Hata ukienda ukerewe pale ukitamka vile sidhani kama kuna mtu atakuelewa. Click to expand... Duuh noma sana.
Hulda-Tamarri JF-Expert Member Joined Nov 4, 2015 Posts 2,554 Reaction score 3,728 Mar 12, 2023 #84 Alphonce marco said: Sitaki ku-comment vibaya juu ya wanawake wembamba,,nisije anzisha ligi na bidada mmoja hivi [emoji16][emoji16] Click to expand... Ukitupiga dongo hakikisha na kwenu + kwako hawapo! 😀😀😀
Alphonce marco said: Sitaki ku-comment vibaya juu ya wanawake wembamba,,nisije anzisha ligi na bidada mmoja hivi [emoji16][emoji16] Click to expand... Ukitupiga dongo hakikisha na kwenu + kwako hawapo! 😀😀😀
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,582 Reaction score 94,344 Mar 12, 2023 #85 Ana six pack.
B BodGanleonid JF-Expert Member Joined Nov 14, 2022 Posts 3,021 Reaction score 4,347 Mar 12, 2023 #86 Hulda-Tamarri said: Ukitupiga dongo hakikisha na kwenu + kwako hawapo! Click to expand...
Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,585 Reaction score 12,444 Mar 12, 2023 #87 she is smart na umbo lake linaruhusu uvaaji aliovaa
Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 919 Reaction score 1,101 Mar 12, 2023 Thread starter #88 jiwe angavu said: Wazazi wake wote wanyambo wa karagwe kaishe,sema wamezaliwa na kukulia shinyanga,mzee wake mpaka leo yupo shinyanga na familia yake kwa ujumla. Click to expand... Baba ake msukuma.. mama ake ndo mnyambo wa karangwe
jiwe angavu said: Wazazi wake wote wanyambo wa karagwe kaishe,sema wamezaliwa na kukulia shinyanga,mzee wake mpaka leo yupo shinyanga na familia yake kwa ujumla. Click to expand... Baba ake msukuma.. mama ake ndo mnyambo wa karangwe
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,177 Reaction score 42,842 Mar 12, 2023 #89 Hemedy jr Junior said: Baba ake msukuma.. mama ake ndo mnyambo wa karangwe Click to expand... Hana mzazi msukuma,zaidi ya kuzaliwa na kukulia usukumani.
Hemedy jr Junior said: Baba ake msukuma.. mama ake ndo mnyambo wa karangwe Click to expand... Hana mzazi msukuma,zaidi ya kuzaliwa na kukulia usukumani.
Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 919 Reaction score 1,101 Mar 12, 2023 Thread starter #90 jiwe angavu said: Hana mzazi msukuma,zaidi ya kuzaliwa na kukulia usukumani. Click to expand... Unabishana kwa kujua au?
jiwe angavu said: Hana mzazi msukuma,zaidi ya kuzaliwa na kukulia usukumani. Click to expand... Unabishana kwa kujua au?
Hemedy Jr Junior JF-Expert Member Joined Feb 17, 2023 Posts 919 Reaction score 1,101 Mar 12, 2023 Thread starter #91 Hemedy jr Junior said: Unabishana kwa kujua au? Click to expand... Kwa taarifa Mv bukoba anataarifa zake
Hemedy jr Junior said: Unabishana kwa kujua au? Click to expand... Kwa taarifa Mv bukoba anataarifa zake
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,442 Reaction score 108,485 Mar 12, 2023 #92 Dunia ilipo,huyo ndio mjanja,katokelezea.