Tukumbuke Flaviana Matata was discovered na jamaa mmoja black american aitwaye Russel Simmons aliyemtambulisha huyu mdada kwa fashionista kama Tommy Hilfiger na wengineo wengi. Turudi kwenye maada, How was Flaviana introduced to the secret societies????. In America many top fjgures in all industries including modelling and fashion are members of these secret societies either willingly or unwillingly. Unwillingly nitaieleza kwa kugusia upande wa modeling and fashion, huwa hizi top agencies zinapokupa contract kupitia hizo contract kama hauko carefull then unajikuta ukisign a devil's deal unwillingly. Kwenye willingness nj maamuzi yako tu. Kupitia Russell Simons and other top figures like Tommy Hilfiger hawa ndio walihusika ipasavyo katika kumuintroduce huyu dada kwenye secret society. Why??? Russel Simmons is a member and through introducing new young generations of these secret societies inamsaidia yeye katika personal success(sitaongelea sana hapa) hivyo ni mmoja wa recruiting people katika hizi secret societies so my point is Dada yetu was recruited na unapokuwa katika industry hizi influence iliyopo haikuachi mzma ni lazma utagive in tu. Mfano m hai ni kilichomkuta Cara Delevingne walimpandisha high then akawa offered the deal tayar akiwa kashaonjeshwa success at the highest level. Niishie hapo but ukiwa hujaridhika mkuu fuatilia kwa kufanya binafsi then jibu litakuwa the same na hili nilitowalo.