Ka Flaviana kazuuriii, na mme wake na kazuriii..... nilitamani kuja kuona mazao yao ambavyo angekuwa na kasura nusu flavy nusu mumewe.
Japo tunahisi kwa kuona taswira ila kuvaa pete au kutokuvaa pete ya ndoa au uchumba haimaanishi umeachana na mahusiano yako au wanaovaa pete za ndoa au uchumba haimaanishi wameolewa/wameoa au wamechumbiwa. Pete ni urembo tuu kama ilivo mkufu au hereni, kama ni ndoa iko moyoni an kama watu hamko moyoni kwa kila mmoja hata kama mnavaa pete ya kuzuia urefu na upana ndoa haipo hapo.
Kama mwanamitindo nae anatambulika kama msanii basi ujue yawezekana wakati anapiga hizo picha alikuwa kazini na aliamua kuzivua.
Aaaaggghh bana eeehhh watajua wenyewe na mahusiano yao, waliokuwa wanammendea mate jaribuni kutupa ndoano kama atakubali basi mpige show za afya sio za kukomoana.
Kasie Mahaba.